Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Chuo nimemaliza 2020 nikaenda Law School. Bado napambana hapo.Pole, umemaliza chuo lini?
Duuuuh!Habari wana JF,
Hivi ni rahisi kupata kazi serikalini kuliko private sectors? Nimetuma maombi mengi sana sekta binafsi lakini sijawahi kuitwa hata kwenye usaili. Hata hivyo, kazi nyingi nilizo-apply Serikalini nilifanikiwa kuitwa walau kwenye hatua za usaili. Japo sijafanikiwa kupata kazi mpaka sasa.
Mbaya zaidi ni kwamba sekta binafsi hata email tu hawajibu kama maombi yako yamekubaliwa au la. Unabaki unasubiri miezi na miezi.
Nina degree ya Sheria. Yeyote atakaeweza kunisaidia kupata sehemu ya kujishikiza nitashukuru sana.
moderncentury5@gmail.com
Hahah, tatizo ni hana kitu tunaita LOCUS STANDI yeye ni mhitimu wa shahada ya sheria tu ambayo haruhusiwi hata kuandaa nyaraka za kisheria.Anza harakati kama za kina madeleka, utapata tu mashavu , tumia uana Sheria wako kwa kuanza kujitilolea kutetea watu , then unaweza kusanya pesa za kutosha tu , Wtz wengi hatuna Elimu ,
Kuna watu wengi mahakamani wanahitaji msaada wa kuandaliwa nyaraka nk. Afungue ofisi awe na partnership na wakili mwenye muhuri, ambaye ameanza.Hahah, tatizo ni hana kitu tunaita LOCUS STANDI yeye ni mhitimu wa shahada ya sheria tu ambayo haruhusiwi hata kuandaa nyaraka za kisheria.
Hapo ni labda atafute NGO mpya awe mwanaharakati kulingana na mwelekeo wa hiyo NGO. Ila hili nalo sio jambo jepesi maana inahitaji kujitoa hasa sio poa.
Anyway Mkuu Kalamu Nzito upo mkoa gani?
Mimi kukushauri ni fungua akaunti mpya humu JF, tumia majina rasmi na kuwa verified. Alafu tafuta eneo la sheria ambalo utakuwa una research na kuandika huku. Sana sana andikia mambo ya litigation ili uweze kuonesha uwezo wako wa ku research.
Then baada ya muda kama mwaka mmoja anza kuitumia hiyo akaunti kama port folio yako, pia uwe una publish na LinkedIn. Inaweza kukusogeza hatua kadhaa. Humu kuna mawakili kibao na wengi wetu hatupendi kuresearch sana mambo ya litigation sasa unaweza ukajipatia CV nzuri na uhakika wakazi.
Ila usimuige Mendez wewe andika kivyako kwa ubunifu wako ili uweze kutofautishwa.
All the best.
Huo muhuri wa school of law umewekwa kisiasa .Hahah, tatizo ni hana kitu tunaita LOCUS STANDI yeye ni mhitimu wa shahada ya sheria tu ambayo haruhusiwi hata kuandaa nyaraka za kisheria.
Hapo ni labda atafute NGO mpya awe mwanaharakati kulingana na mwelekeo wa hiyo NGO. Ila hili nalo sio jambo jepesi maana inahitaji kujitoa hasa sio poa.
Anyway Mkuu Kalamu Nzito upo mkoa gani?
Mimi kukushauri ni fungua akaunti mpya humu JF, tumia majina rasmi na kuwa verified. Alafu tafuta eneo la sheria ambalo utakuwa una research na kuandika huku. Sana sana andikia mambo ya litigation ili uweze kuonesha uwezo wako wa ku research.
Then baada ya muda kama mwaka mmoja anza kuitumia hiyo akaunti kama port folio yako, pia uwe una publish na LinkedIn. Inaweza kukusogeza hatua kadhaa. Humu kuna mawakili kibao na wengi wetu hatupendi kuresearch sana mambo ya litigation sasa unaweza ukajipatia CV nzuri na uhakika wakazi.
Ila usimuige Mendez wewe andika kivyako kwa ubunifu wako ili uweze kutofautishwa.
All the best.
Bachelor degree ya sheria ni theories tu, haimfundishi mtu practical knowledge ya uwakili.Huo muhuri wa school of law umewekwa kisiasa .
Ilibidi MTU akiwa chuoni anasoma akitoka hapo awe amekamilika kuingia mtaani .
Serikali zetu zinaiga mambo Ila hawatumii ufahamu mzuri I hate this stuffs .
Trust me, huo mtaji bora akafanye biashara zingine maana kwa ground mambo sio rahisi hivyo.Kuna watu wengi mahakamani wanahitaji msaada wa kuandaliwa nyaraka nk. Afungue ofisi awe na partnership na wakili mwenye muhuri, ambaye ameanza.
Waanze wote from the ground wapige kazi
Upumbavu Kama huu utaukuta Africa hiyo school of law inashindwa vipi kuwa accompanied hapo hapo katika masomo ya bachelor?Bachelor degree ya sheria ni theories tu, haimfundishi mtu practical knowledge ya uwakili.
Hata kuandaa nyaraka za kisheriaa mwanafunzi hawezi. Ni mpaka aende lawskuli.
Baada ya hapo ndo anapewa muhuri
Huu ni utaratibu wa dunia nzima sisi sio kisiwa Mkuu.Huo muhuri wa school of law umewekwa kisiasa .
Ilibidi MTU akiwa chuoni anasoma akitoka hapo awe amekamilika kuingia mtaani .
Serikali zetu zinaiga mambo Ila hawatumii ufahamu mzuri I hate this stuffs .
Fanya tafiti kwanza kiongozi kabla hujaongea. Duniani kote Law School ni mandatory ili uweze kuwa wakili.Upumbavu Kama huu utaukuta Africa hiyo school of law inashindwa vipi kuwa accompanied hapo hapo katika masomo ya bachelor?
Au ni kutafutiana ulaji
Je hatuwezi kuboresha MTU akisoma degree awe na sifa za kuwa na muhuri ikiwa issues ni masomo tunayaongeza na field anaenda Kama kawaida inashindika niniFanya tafiti kwanza kiongozi kabla hujaongea. Duniani kote Law School ni mandatory ili uweze kuwa wakili.
Alafu school of law ni tofauti na law school. School of law utaikuta kwenye department za vyuo ila law school ni shule inajitegemea kama ilivyo hii yetu Law school of Tanzania
Nimekuelewa Sana hata Mwalimu aliyesoma Diploma hauwezi kumfananisha na wa degree nadhani wadau wa Elimu wanabidi kufikiria hili jamboHuu ni utaratibu wa dunia nzima sisi sio kisiwa Mkuu.
Watu wengi wanashindwa kujua kwanini wanasoma fani fulani, hilo ndio tatizo letu kuu.
Digrii ya sheria ni digrii ya kitaaluma sio digrii ya ujuzi. Sasa mtu ukitaka kuwa na ujuzi wa kisheria ndio unaenda kusoma diploma ya juu ya mafunzo ya sheria kwa vitendo.
Sasa tatizo watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya digrii ya kitaaluma (academic degree) na digrii ya ujuzi (professional degree) na hapa ndipo mahali watu wengi wanaumia.
Kama mtu unataka kujiajiri baada ya kumaliza masomo basi sharti ujue kuwa unatakiwa kusoma digrii ya ujuzi sasa watu wanasoma digrii za kitaaluma alafu wanataka kujiajiri. Hiyo haipo na haiwezekani. Ukijiajiri basi utajiajiri kwenye kitu ambacho hujasomea.
Na ndio maana ni bora kwa sasa mtu akasoma diploma ya ujuzi kuliko digrii ya kitaaluma.
Hii elimu inatakiwa wapewe vijana wa kidato cha sita ili wakimaliza wajue wanachagua fani gani na wategemee nini kwenye hizo fani.
Nfano wa hizo ajira za tarili ndugu daktariNjia nyingine Kama hauelewi omba zile ajira Kama za Tarili ambazo kigezo ni form four unaweza kupata .
Mbinu kama hii huwa tunazitumia sisi ambao hatuna connection.
Baadae ukiingia huko unafanya categorization