Ni rahisi kusema Simba na Yanga ila inaleta ukakasi ukisema Yanga na Simba, kwanini?

Ni rahisi kusema Simba na Yanga ila inaleta ukakasi ukisema Yanga na Simba, kwanini?

Tanzania nzima wapenda mpira huanza kuitaja simba kisha yanga na wala hawaanzi na yanga kisha simba huo ndio ukweli. Uzi tayari.
Ni rahisi kusema Bibi na Bwana Kuliko Bwana na Bibi...nafikiri umeelewa
 
Tanzania nzima wapenda mpira huanza kuitaja simba kisha yanga na wala hawaanzi na yanga kisha simba huo ndio ukweli. Uzi tayari.
Lengo lako la kuanzisha uzi huu linajulikana, lakini majibu sahihi unayoyapata humu nadhani unajuta maana hukujua kama kuna " ladies and gentlemen ".

Haaahaaa!! Aibu kwako
 
Ni kama tu kusema mtoto na baba haivutii ila ukisema Baba na mtoto ina sound good.
 
Uliwahi kusikia Gentleman and ladies?? Au huwa tunatumia ladies and gentlemen ur wormly welcome??
 
mwalimu wako hakukufundisha alfabeti...???
 
Kwa sababu ni vyema kusema BIBI na BWANA na siyo BWANA na BIBI
 
Back
Top Bottom