Ni rahisi kusema Simba na Yanga ila inaleta ukakasi ukisema Yanga na Simba, kwanini?

Ni rahisi kusema Simba na Yanga ila inaleta ukakasi ukisema Yanga na Simba, kwanini?

Attachments

  • 1724597973778.jpg
    1724597973778.jpg
    280.9 KB · Views: 3
Kolo umeandika ujinga Mtupu...Ilogical
Haya tupate ujumbe kutoka kwa Wadhamini wetu
Lete na ile nne moja mpaka mkafukuza wachezaji wote first eleven.
 
Lete na ile nne moja mpaka mkafukuza wachezaji wote first eleven.
Huo ni Umbea na haijawahi kutokea Yanga kufukuza wachezaji wote 1st Eleven

Ninyi ndio mmesajili wachezaji 14 lakini bado mnapokea Vichapo kutoka kwetu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom