masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
kuna siku moja mtu aliniuliza unapenda kitu gani mbali na kazi yako kukifanya kutengeneza pesa
bila kupepesa macho nikasema kupika,
kuna uzi flani hapa jf ulianzishwaga nyakati za nyuma kidogo ,sikumbuki title
ila nilicoment nikasema unaweza ukatengeneza brand yako hata ya chips tu
ni swala la kukipenda kile kitu ni point ya muhimu sana
kwa mfano wewe ni mwalimu ....una experience na stationaries...ukifungua stationary unakua na point kadhaa mbele
kwani ni rahisi hata kujua ni vitu gani uweke achilia mbali vitabu vya mitaala...na vya ziada ...
achilia mbali mtaji ila ukiwa kwenye hiyo secta una point nyingi za kuanzia biashara yako
..kuwa na hobby lets say ya simu...kuna watu sio mafundi au lah ila specification za simu,uwezo na makorokoro kibao anayajua
huyu mtu akienda dubai kufunga mzigo wa simu kwa milion 20
na wewe mwenye milion 40 na hujui hizo mbanga...uwenda akatoboa na wewe ukapiga sana miyyao
...kuna uwezekano mkubwa sana wa kutoboa popote lakini pia kuna angle ukiingia hhutoi jasho sana mwanzo wa biashara
fundi bomba dawasco na duka la vifaa vya bomba
fundi umeme na duka la vifaa vya umeme
.....kutoa hakuna formula moja
ila kwa ambae unataka kuanza biashara ....kabla hujaanza mtaji unatakiwa walau uwaze katika kona hii
sio kwasabbu una mtaji tu unataka ufungue biashara(japo mtaji ni key point)
...ila kitu unachokipenda kitakupa mtaji wa kufungua na vitu usivyovipenda ambavyo vina pesa ndefu
....kwa yoyote atakaeokota point humu
usiku mwema