Ni rahisi sana kucheza na akili ya mswahili kutokana na kuamini sana ushirikina

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Mswahili ukitaka umvuruge akili zake rahisi sana maana waswahili wanaamini sana katika ushirikina.

Chukua kichwa cha kuku tafuta karatasi buni maneno ya kiarabu kwa wino mwekundu halafu andika na jina lake mtupie katika biashara yake, ofisini au nyumbani kwake πŸ˜ƒ

Akija kuona atachanganyikiwa vibaya kama mshirikina atamaliza waganga na kama mtumishi atamaliza makanisa yote kuombewa πŸ˜† atahisi karogwa.

Halafu tia chumvi andika tumebeba nyota yako hutoboi πŸ˜† basi we atachanganyikiwa vibaya πŸ˜†πŸ˜† Psychology War (Vita ya kisaikolojia)
 
Watia huruma kwa kweli....kila mtu mbaya kwaoπŸ€’
 
Kijana nenda hapo gamboshi utakuja kufuta huu uzi
 
Hahaha, ni kweli unachosema lakini ujue ushirikina upo kweli. Omba sana na simulia sana yasikupate.
 
Mkuu Kuna ushirikina na Kuna mazingaumbwe ujueee..
 
Uchawi ni imani unaweza kushindwa kulala usiku kutokana na story za jamaa na schezophernia ugonjwa wa akili siamini uchawi naamini katika yesu nguzo ya imani kama islam mohammed nguzo ya fanikio ishu ni iman na siamini

Kama uchawi upo stupidity mindset
 
Kwa nini maandishi ya KIARABU NA SI MENGINEYO?, JE MAANDISHI HAYO YANAUHUSIANO GANI NA UCHAWI?
Naomba kujuzwa hili?
 
Hahah.. Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…