mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Usukumani kote watu wakovizuri mtoa mada hajatembeaGamboshi mbali kote, afike mji wa zamani bariadi atakaa kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usukumani kote watu wakovizuri mtoa mada hajatembeaGamboshi mbali kote, afike mji wa zamani bariadi atakaa kimya
kwanini siyo kichina?
Hakuna kituhuko Pemba ndio top , wanatumia majiniUsukumani kote watu wakovizuri mtoa mada hajatembea
Kumbe ni vitu viwili tofautiMkuu Kuna ushirikina na Kuna mazingaumbwe ujueee..
Nimecheka pekeangu aisee sijui umewaza Nini [emoji2][emoji2][emoji2]Mswahili ukitaka umvuruge akili zake rahisi sana maana waswahili wanaamini sana katika ushirikina.
Chukua kichwa cha kuku tafuta karatasi buni maneno ya kiarabu kwa wino mwekundu halafu andika na jina lake mtupie katika biashara yake, ofisini au nyumbani kwake [emoji2]
Akija kuona atachanganyikiwa vibaya kama mshirikina atamaliza waganga na kama mtumishi atamaliza makanisa yote kuombewa [emoji38] atahisi karogwa.
Halafu tia chumvi andika tumebeba nyota yako hutoboi [emoji38] basi we atachanganyikiwa vibaya [emoji38][emoji38] Psychology War (Vita ya kisaikolojia)
🤣🤣🤣 Totally insaneNimecheka pekeangu aisee sijui umewaza Nini [emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahahaha..Mswahili ukitaka umvuruge akili zake rahisi sana maana waswahili wanaamini sana katika ushirikina.
Chukua kichwa cha kuku tafuta karatasi buni maneno ya kiarabu kwa wino mwekundu halafu andika na jina lake mtupie katika biashara yake, ofisini au nyumbani kwake 😃
Akija kuona atachanganyikiwa vibaya kama mshirikina atamaliza waganga na kama mtumishi atamaliza makanisa yote kuombewa 😆 atahisi karogwa.
Halafu tia chumvi andika tumebeba nyota yako hutoboi 😆 basi we atachanganyikiwa vibaya 😆😆 Psychology War (Vita ya kisaikolojia)