Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madam nimetokea kukupenda, nasubiri somo kwa hamu sana.Usijal tutakutana Youtube
Karibu sana! Week ijayo nitaanza kurusha vipindi Youtube, utakuwa kama uko darasani live
Lini tunakutana you tube?Usijal tutakutana Youtube
Asante.Nitawataarifu juma5, nadhani somo la kwanza litakua tayari.
Kuna kitabu kinaitwa "Parlons Français, c'est facile!" jaribu kama utakipata
Niko hapa NatakaUmewahi kuwa na ndoto ya kuzungumza Kifaransa kama lugha ya mama? Usikate tamaa, unaweza kuomba mwalimu kwa njia ya mtandao akakufundisha ukiwa nyumbani kwako maana KIFARANSA ukipata mwl mzuri, ni lugha rahisi sana kujifunza. Mwl anaweza kukufundisha ndani ya miezi mitatu ukazungumza kama vile umezaliwa Ufaransa kwa kutumia simu ya mkononi au internet. Ukihitaji ushauri wa namna ya kujifunza lugha hii ukiwa nyumbani kwako, usikose kuwasiliana na mimi au kutazama vipindi vyangu vya Kifaransa Star T.V kila alhamisi sa kumi na nusu jioni.
Kumbuka nchi 27 za Africa zinazungu Kifaransa, tunahitaji kufahamu lugha hii ili tuweze kuwasiliana nao kibiashara au kiplomasia pia, Kingereza na kifaransa ni lugha za kazi za Umoja wa mataifa (UN) hivyo ni vigumu sana kufanya kazi na taasisi za kimataifa bila ufahamu wa lugha hizi mbili. Wenzetu wa nchi jirani walilifahamu mapema, utawakuta kwenye taasisi nyingi za kimataifa kwa sababu ya kuchangamkia lugha nyingi. Watanzania pia tumeamka; Nakushauri usibaki nyuma!
Kwa wanaohitaji kuanza safari ya kuzungumza, kila siku kuanzia j3 nitaweka hapa somo moja, litakukua na maelekezo ya namna ya kutamka.
Ukishindwa kutamka utapiga sim 0673225148 kwa mda nitakaoelekeza.
Je me suis pas sur mon cher.Tu parle tres bon! Ce pas possible!!
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali mshirikishe rafiki yako wa karibu ili upate mtu wa kuzungumza nae mara kwa mara, na kama haitoshi, usikose kututembelea ofisini kwetu ili upate ushauri utakao kuwezesha kukamilisha ndoto yako.Ahsante kwa ushauri.
Nivyema ukatupa simple lesson kila siku au kutuwekea baadhi ya vitabu vizuri vya kujifunzia.
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali mshirikishe rafiki yako wa karibu ili upate mtu wa kuzungumza nae mara kwa mara, na kama haitoshi, usikose kututembelea ofisini kwetu ili upate ushauri utakao kuwezesha kukamilisha ndoto yako.Ni kweli weka youtube... si unajua tena pirika za maisha hutufanya tunakuwa mbali na Tv
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali mshirikishe rafiki yako wa karibu ili upate mtu wa kuzungumza nae mara kwa mara, na kama haitoshi, usikose kututembelea ofisini kwetu ili upate ushauri utakao kuwezesha kukamilisha ndoto yako.Nataka Kiitaliano Kuna demu mmoja wa Kirwanda alikuwa akinifundisha kwa njia ya whatsapp, sim nikaja kuipoteza na number ndiyo ikawa mwisho
hiyo nimeinasa ina maana nakupendaJe `taime