Ni rahisi sana kujifunza Kifaransa

Ni rahisi sana kujifunza Kifaransa

Nitawataarifu juma5, nadhani somo la kwanza litakua tayari.
Kuna kitabu kinaitwa "Parlons Français, c'est facile!" jaribu kama utakipata
Asante.
Kama unaweza anzisha WhatsApp group la kujifunzia itakua poa sana.
 
Umewahi kuwa na ndoto ya kuzungumza Kifaransa kama lugha ya mama? Usikate tamaa, unaweza kuomba mwalimu kwa njia ya mtandao akakufundisha ukiwa nyumbani kwako maana KIFARANSA ukipata mwl mzuri, ni lugha rahisi sana kujifunza. Mwl anaweza kukufundisha ndani ya miezi mitatu ukazungumza kama vile umezaliwa Ufaransa kwa kutumia simu ya mkononi au internet. Ukihitaji ushauri wa namna ya kujifunza lugha hii ukiwa nyumbani kwako, usikose kuwasiliana na mimi au kutazama vipindi vyangu vya Kifaransa Star T.V kila alhamisi sa kumi na nusu jioni.

Kumbuka nchi 27 za Africa zinazungu Kifaransa, tunahitaji kufahamu lugha hii ili tuweze kuwasiliana nao kibiashara au kiplomasia pia, Kingereza na kifaransa ni lugha za kazi za Umoja wa mataifa (UN) hivyo ni vigumu sana kufanya kazi na taasisi za kimataifa bila ufahamu wa lugha hizi mbili. Wenzetu wa nchi jirani walilifahamu mapema, utawakuta kwenye taasisi nyingi za kimataifa kwa sababu ya kuchangamkia lugha nyingi. Watanzania pia tumeamka; Nakushauri usibaki nyuma!

Kwa wanaohitaji kuanza safari ya kuzungumza, kila siku kuanzia j3 nitaweka hapa somo moja, litakukua na maelekezo ya namna ya kutamka.

Ukishindwa kutamka utapiga sim 0673225148 kwa mda nitakaoelekeza.
Niko hapa Nataka
 
Ahsante kwa ushauri.

Nivyema ukatupa simple lesson kila siku au kutuwekea baadhi ya vitabu vizuri vya kujifunzia.
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali mshirikishe rafiki yako wa karibu ili upate mtu wa kuzungumza nae mara kwa mara, na kama haitoshi, usikose kututembelea ofisini kwetu ili upate ushauri utakao kuwezesha kukamilisha ndoto yako.

Jifunze KIFARANSA na Mr Chérrif Youtube

www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw

Merci!
 
Ni kweli weka youtube... si unajua tena pirika za maisha hutufanya tunakuwa mbali na Tv
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali mshirikishe rafiki yako wa karibu ili upate mtu wa kuzungumza nae mara kwa mara, na kama haitoshi, usikose kututembelea ofisini kwetu ili upate ushauri utakao kuwezesha kukamilisha ndoto yako.

Jifunze KIFARANSA na Mr Chérrif Youtube

www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw

Merci!
 
Nataka Kiitaliano Kuna demu mmoja wa Kirwanda alikuwa akinifundisha kwa njia ya whatsapp, sim nikaja kuipoteza na number ndiyo ikawa mwisho
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali mshirikishe rafiki yako wa karibu ili upate mtu wa kuzungumza nae mara kwa mara, na kama haitoshi, usikose kututembelea ofisini kwetu ili upate ushauri utakao kuwezesha kukamilisha ndoto yako.

Jifunze KIFARANSA na Mr Chérrif Youtube

www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw

Merci!
 
What did Dr Magufuli famous is the very same things
that caught the Tanzanian population
surprise. In a continent where , in general , corruption
and misappropriation of public funds is a way of life for
African leaders , Dr Magufuli accurate and fast
austerity has been hailed as very impressive. What did Dr Magufuli famous is the very same things
that caught the Tanzanian population
surprise. In a continent where , in general , corruption
and misappropriation of public funds is a way of life for
African leaders , Dr Magufuli accurate and fast
austerity has been hailed as very impressive. He
have basically done what many people thought was
impossible by an African leader. Famous columnist ,
Obbo - Mr Charles Onyango , has branded Dr Magufuli
 
Les gens de chez nous !!!!
C'est une langue belle avec des mots superbe .....
 
Back
Top Bottom