Ni rahisi sana kujifunza Kifaransa

Ni rahisi sana kujifunza Kifaransa

Madamme, je ne comprend pas comment tu peut parlais ce langue pendent dais moins. Jamais
 
Madamme, je ne comprend pas comment tu peut parlais ce langue pendent dais moins. Jamais

Même un mois! Tout dépend de votre détermination… Mon cher, sache bien que personne ne connait la langue; nous connaissons en partie!
 
Karibu sana! Week ijayo nitaanza kurusha vipindi Youtube, utakuwa kama uko darasani live
Nilikuw na wazo kidgo mkuuu.

Why usifungue group uwe watu fundsha kwa notes na voice note katik kujua matamshi?
 
safi sana huu uzi nime unakiri kwa kumbukumbu za baadae aise
 
SIYO KWELI!!! Kujifunza lugha ni kama vile hesabu na muziki. Kuna wanaojifunza kwa urahisi sana na wengine ni kazi kweli kweli. Huu ni ukweli wa kisayansi uliothibitishwa na tafiti nyingi kwenye peer reviewed journals za Saikolojia na Language Acquisition. Kwa hivyo siyo sahihi ku-generalize kuwa ni rahisi sana Kujifunza Kifaransa au lugha nyingine yo yote; na siamini kama eti wanafunzi wako wote wataweza kuongea Kifaransa kwa ufasaha katika kipindi cha miezi mitatu tu. Kama hili linawezekana sema nikuunganishe na association ya wataalamu wa Language Acquisition ili wafanyie utafiti mbinu zako za ufundishaji na hao wanafunzi wako ambao wana vipaji vya ajabu vya kumudu lugha. Kama ni kweli basi itabidi uingie kwenye Guiness Book of Records na unaweza kuwauzia jamaa wa Rosetta Stone hiyo programu yako ukapiga hela ya uhakika...
 
Kujifunza lugha ni kama vile hesabu na muziki. Kuna wanaojifunza kwa urahisi sana na wengine ni kazi kweli kweli. Huu ni ukweli wa kisayansi uliothibitishwa na tafiti nyingi kwenye peer reviewed journals za Saikolojia na Language Acquisition. Kwa hivyo siyo sahihi ku-generalize kuwa ni rahisi sana Kujifunza Kifaransa au lugha nyingine yo yote!

Vizuri sana; Kama upo Dar, unaweza kunipigia 0673225148 nikakushauri namna ya kujiunga na live class, kupitia darasa hilo, utaweza kuzungumza na kuandika kwa ufasaha ndani ya miezi mi3 pekee.
 
Vizuri sana; Kama upo Dar, unaweza kunipigia 0673225148 nikakushauri namna ya kujiunga na live class, kupitia darasa hilo, utaweza kuzungumza na kuandika kwa ufasaha ndani ya miezi mi3 pekee.
Sis wa mikoan wengine
 
Back
Top Bottom