Tuliosoma pale ndo tunajua chuo ni kigumu sana kileWewe IFM huwajui they are very strict
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliosoma pale ndo tunajua chuo ni kigumu sana kileWewe IFM huwajui they are very strict
Sidhani kama unanizidi nilisoma HKL nikaenda pale taxation, siji kurudia ni pagumu balaaKile chuo kimenitesa sana mkuu siwezi kukisahau daima japo now nipo sehemu nawashukuru sana kwa kifupi wapo vizuri.
Yaani Mimi sina hamu nashukuru Mungu nilimaliza salamaPale hakuna anaekubembeleza kuja chuo, kufanya presentation wala chochote. Wewe fanya ufyokolo wako ukitegemea kuna make up test uone utavyorudi kwenu
Yaani Mimi sina hamu nashukuru Mungu nilimaliza salama
Kitu ulichokifanya ndio Utanzania wenyewe sasa.maana umebisha kwenye bishano ili mradi ubishe.ingefaa utoe data kutoka hicho kitabu chako ambazo ni kinyume na za mtoa mada.sasa hapa na wewe umetoa porojo na ndio uhovyo wa elimu yetu ya Tanzania.Nilipoona andiko la mtoa mada hapo juu imenilazimu nitafute kitabu cha orodha ya Graduate mwaka 2016 ambapo mimi ni miongoni mwa nilie-graduate mwaka huo nimetumia nusu saa kuangalia wenye FIRST CLASS kwa mwaka huo, lakini nikajikuta nacheka hadi kufikia kuidharau sana elimu ya Tanzania, kwamba kweli mtu anayejinasibisha kuwa na PTS 12 mara sijui ngapi huko anaweza akasema kama alichokisema na kibaya zaidi wachangiaji nao bila kufanya utafiti kabla hawajachangia pengine kujilizisha Kwa kile ambacho mtoa mada amekisema wameamua kuchangia UONGO wa mtoto mada. Jamani kama tunajinathibisha kuwa wasomi ni vizuri pia tukachangia vitu ambavyo tuna uhakika navyo kwa kufanya utafiti ama kujilizisha hapo tutakuwa tunaendana na sifa jadidi ya sisi kuuvaa uhusika wa USOMI wetu.
Wewe Nathan Jr njoo ujibu apaNina kila sababu ya kuheshim wazo lako na sina data za kutosha kukupinga maana sijafanya utafiti huo..ila pengne nisaidie kidogo katika ili
1 asilimia 85 ya walimu wanaofundisha UDOM ni wahtim wa UDSM
2 Wakaguzi waitihani wanayofanya wanafunzi wa udom kutoka nje ni kutoka UDSM
3 Wasimamizi wa Chuo kwa maana ya uongoz wa chuo 95% ni wahtim wa UDSM
swali kwann wahtim hawa kutoka Chuo bora ambao ndio college mate wenzio ndo mazao yawe ovyo? Je tafsiri yake na ww huduma unayotoa huko ni mbovu?
Ningeshawishika kukubal kama tu ungeonesha wahtim ndiyo wabovu pamoja na kutoka GPA ndogo lakini tuhuma yako ni walimu hawa kutoa GPA kubwa.
Kumbe wewe upo upo tu nimesema wanatangaza? Au wanataja tu idadi ya ufaulu, then unaleta ubishiMkuu una uhakika na unachosema? Una ushahidi wa hizo first class70??Ni kozi gani yenye first class 70? UDOM wanatangaza GPA za wanafunzi siku ya graduation?
Wahadhiri wengi wa UDOM wametoka UDSM, SUA na MZUMBE sasa ufundishaji unatofautiana kikubwa kitu ganiHizo 1st class 70 za UDOM zinatokea college gani?? Informatics zipo ngapi?
Hakika hawali nasikia hizo propaganda niliamini katika hii dhana, baada ya kwenda pale UDOM nilipokuwa nasoma wasifu wa walim wangu wote walionifundisha toka Mwaka Wa kwanza mpaka Wa tatu ni mmoja tu alikuwa kahtim kutoka Chuo cha SUZA ila walo baki wote ni wahtim wa UDSM na la kushangaza walim wangu hao weng waliokuwa si madaktari walikuwa ni wanafunz wa UDSM, nikawa najiuliza why UDOM isemekane kuwa na wahitimu wabovu ili khali wanaandaliwa na wahtimu kutoka Chuo bora? Nikafanya tafiti zangu kidogo nikabaini hayaWahadhiri wengi wa UDOM wametoka UDSM, SUA na MZUMBE sasa ufundishaji unatofautiana kikubwa kitu gani
Mwaka jana first class UDOM zilikuwa 6 tu sasa hizo 70 mnatolea wapi?Hizo 1st class 70 za UDOM zinatokea college gani? Informatics zipo ngapi?
Safi sana uzi wangu nime u UPDATEMimi binafsi naamini katika specialisation ya chuo husika wala sio kugeneralize kuwa Udom or Udsm ni vipanga kwa kila kitu eg kama kuna kozi za afya nitachagua Muhimbili na si chuo kingine kama first choice vivo hvyo logistics &transportation nitaopt kwa wenye fani yao DMI/NIT
Hatujaelewa mkuu eleza vemaWatu wanaibeza sana UDOM ila nimekuja kufuatilia historia ya collage of informatics (sio chuo kizima) mwaka huu wameondoka wanafunzi 178 kwa collage moja pili toka collage hii kuanzishwa ilichukua muda kupatikana first class, binafsi nilikwepa kuomba DIT nikiamini huko mambo magumu ila nilipokuja hapa nimeona nitulize akili na nipunguze bata
Sawa sawa mkuu nimekuelewaNimekuelewa sana kiongozi, ninakushukuru sana katika hili, wazo lako ni sahihi tena kwa uekevu hata mimi nimejikwaa kwa ugusi wa mtazamo, ila kama pia umesoma ujumbe wangu utakuwa umebaini kuwa pia hata mimi siko katika mrengo huo wa kurithi ubora, asante kiongozi