Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

ngo ya mbowe mpaka mfagizi mchaga ila CCM mwenyekiti ni Zanzibar na kila baada y muda tunachagua mwingine. Yaani natamani jitu ka wewe msiwepo duniani maan mnaeneza chuki bora mfe kabisa
 
ANDAMANAA[emoji23][emoji23][emoji23] mbona makasiriko mengi kweli Hamuon mlivyoboronga bora wapewe WABURUNDI AU AL SHABAB
 
ngo ya mbowe mpaka mfagizi mchaga ila CCM mwenyekiti ni Zanzibar na kila baada y muda tunachagua mwingine. Yaani natamani jitu ka wewe msiwepo duniani maan mnaeneza chuki bora mfe kabisa
We ajuza ndoa imekushinda umeamua kujipiga bei
 
Nasemajeeeeee hamna uspecial huo kwenye siasa za Tanzania, punguzeni ujuajiiii.....eti gang, mkijifungia huko mnadanganyana kuwa nyie Ndo wajuzi wa kuongoza🀣🀣🀣🀣 Tuko na Serikali yetu ya awamu ya sita, Serikali ya maridhiano, tunalala Kwa amani.....siasa za kishamba za kutekanatekana tupa kuleeee🀣 Endeleeni kuota.
Mbona matusi ni ya kizamani yote? Huna tusi jipya ambalo halijawahi kusikika?
 
Kumbe umekosa tusi jipya!
Basi jitahidi basi kuongea kama mtu mzima, ukijiunga Jf sio mtoto tena

Uwe unasoma kwanza ndo unatoa comment
 
Hivi yule mwanaharakati na mchambuzi huru Bw. Musiba mbona yuko kimya, ushamba ni mzigo sana. Kila la kheri Sukuma gang
 
JK atuombe radhi kwa kutoitendea haki kauli ya Baba wa taifa, kuhusiana na nani wanakaa kuwa viongozi wa taifa letu,
Nanukuu "NI vyema viongozi wa taifa letu wakatoka kwenye makabila madogomadogo" Mwisho wa kunukuu, JKN aliona mbali sana juu ya hili, hivyo haipaswi taifa letu kurudia makosa ya aina, kwani tukumbuke hata nchi zilizoendelea huwa na mipaka yao, huwa na mabaraza yao ya uoni wa maswala mbalimbali hasa juu ya viongozi wa mataifa yao!
 
Sukuma Gang siyo Wasukuma bali ni wafuasi wa yule mwovu mhamiaji haramu toka Burundi. Ningekuunga mkono kama ungependekeza hao wafuasi wa huyo mwovu waitwe BANYAMULENGE, hayo mengine ni wenge lako tu na wahutu wenzako.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo broo,,Umeamua Kutugombeza???
 
Nliposoma tuu Filauni mfalume wa misiri nikaconclude hamna chakusoma
 
Hao Sukumagang ni kikundi cha wapuuzi wachache ambao hawana uwezo wowote (kifedha, kimikakati wala kijasusi) wa kuchukua hii nchi tena. Mtu pekee waliyekuwa wakimtumainia ndo huyo ashafukiwa huko Chato. Na pesa alizokwiba na kuzificha China zimeshamulikwa na rada.

Nape juzi alitangaza wafanyabiashara wote waliofungiwa maduka ya mabadilishia fedha wamerudishiwa pesa zao na wameruhusiwa kuendelea na biashara. Bila shaka ni zile pesa alizokwiba na kwenda kuzificha zinaanza kurudi.

Pia, hao sukumagang hawana lolote, hivi Ndugai, Palamaganda, Bashiru, Polepole, Doto James, Bashite unaona kuna yeyote mwenye ushawishi au nguvu ya kubadilisha chochote?? Mtapambana sana mitandaoni kujipa relevancy lakini ukweli ni nyie ni weupe sana.
 
Hao sukumagang wangekuwa ni watenda haki wala wasingepata kutafuta waungaji mkono. Ukweli ni sukumagang kilikuwa ni kikundi cha watu wenye roho mbaya, waporaji, wanyonyaji na wasiotaka kukosolewa wala kuambiwa chochote.

Bashite alikuwa anauwezo wa kumwita mfanyabiashara yoyote ofisini kwake na kumwambia nipe 100m hapa sasahivi na ukibisha tu cha moto utakiona. Yule mpuuzi mwingine mwenye kesi kule Arusha alikuwa akibaka, akilawiti, akitesa watu kwa kugongelea misumari, akilazimishwa kupewa pesa kwa nguvu na wafanyabiashara na ukibisha cha moto utakiona. Hawa wote malalamiko yalikuwa yakifika kwa baba yao lakini akawa anaziba masikio na kuruhusu tu mambo haya ya kishenzi yaendelee.

Hakuna ambaye atatamani nchi irudi huko tena.
 
Kwani ulomtaja alikuwaga msukuma au mhamiaji mkimbizi?
Hakunaga msukuma mwenye roho mbaya kama ulomtaja.
Nenda chimbo kama hujanishukuru
 
weee! Kumbe!
 
Achaneni na hii primitive nonsense. Tanzania haiongozwi na magenge ya kikabila. Waliopo katika utumishi wa umma ni Watanzania bila kujali makabila au dini zao. Mawazo ya mtu mmoja mmoja tena ya vijiweni msiyajadili kwa kuhusisha uongozi wa nchi. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…