Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

Ujinga ni kuwaza Ukabila karne hii kila wakati. Ongezeni juhudi tu kuwafanya wasikike kila saa tambueni ipo siku nchi hii hakuna kabila litaweza kuongoza nchi nje na hao unaowataja.

Ukabila haufai kabisa. Lisiwe jambo la kujivunia.
Haitakiwi kuukataa Mana adi uk huko Kuna ubaguzi due to indigenous ya mtu. Nenda ofisi Ina mchaga uone Kama watakupa kazi
 
Magufuli alijenga kigenge Cha wasukuma wapumbavu sana.

Ona akili ya mleta mada
 
Magufuli alijenga kigenge Cha wasukuma wapumbavu sana.

Ona akili ya mleta mada
Huna matusi mapya?

Kama huna tusi jipya, jitahidi kuwa unasoma kisha unacomment
 
Kweli wewe kisamvu
Ulichojaza kichwani kwako ishi nacho! Ila huwezi kuwa na tusi jipya!

Jf sio mahali pa kushindana kutoa matusi, wanaojiunga hapa ni wale wenye akili pevu na sio wewe, nahisi umekosea kuingia hapa, Rudi fb
 
Usiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
P
 
Sukumagang itawasaidia CCM na Rais Samia na ameishabaini nguvu yao. Na hii Sukumagang ndiyo itakayowaua CDM.Hakuna namna. Mama ameishagundua falsafa hiyo ilivyotumika kumchonganisha na wananchi wa kanda ya ziwa na kikundi kidogo kilichomdaka mapema ili kifaidi madaraka kwa vile kilidhibitiwa awamu ya Tano. Msikilizeni Makonda vizuri mtajifunza kitu.
 
Hongera sana mkuu,chukua maua yako.ni kweli,kuna wajinga wanafikiri sukuma gang ni wasukuma. Hapana.sukuma gang ni watu woote wanaoamini ktk falsafa ya kiuongozi wa magufuli.watu hawa wapo sehemu zoote.kwenye vyama vya siasa,makanisa,Ngo. Na vyombo vyoote vya majeshi.
 
Hata aliyeenda UN kudai Uhuru ni Sukuma Gang aliyepewa nauli na Mwamba wa Kusini Simba wa Vita
Nyerere hakuwa mzanaki kama inavyojulikana.nyerere alikuwa ni msukuma mzaliwa wa shigala,ambayo kwa sasa ipo ktk wilaya ya busega mkoa wa simiyu.mpk nyerere anafariki,kuna makabuli pale aliyah jenga kipindi akiwa waziri mkuu.na alikuwa haachi kuja kuyasafisha.
 
[emoji3][emoji3] Nilidhani nimemfahamu Julius wa Mwitongo kumbe simjui bado
 
ngo ya mbowe mpaka mfagizi mchaga ila CCM mwenyekiti ni Zanzibar na kila baada y muda tunachagua mwingine. Yaani natamani jitu ka wewe msiwepo duniani maan mnaeneza chuki bora mfe kabisa
Mnachagua mwenyekiti huwa anagombea na kivuli!!!hahaaha Mbowe hatoki ikikuuma chomoa
 
Magufuli alijenga kigenge Cha wasukuma wapumbavu sana.

Ona akili ya mleta mada
Ukabila
Ukanda
Udini
Uhuni na ujambazi hakuna kiongozi wa hovyo kama jiwe toka enzi za mkoloni amewahi tokea
 
Mtasimulia vitabu sana.....Imeisha hiyo.

Mlitumia fursa vibaya badala ya kuwaletea Maendeleo Wananchi mkaanza kudeal na watu ambao ni raia wenu.
 
Duuh Mamy K
 
Yaani hii Habari unaijua wewe tu Tanzania nzima?

Acha uongo
 
Hakuna anayewachukia kaa Kwabila lao wala Kanda wanayotoka.

Mbona wasukuma ni watu wema sana tu.

Shida ni ile kundi la wasiojulikana na bado nyie wasukuma mkawa mnatetea kwamba Mtu wenu anafanya vizuri na hamkuwahi kukubali kwamba anakosea ktk jambo lolote.

Hii tabia ilinifanya na mimi nianze kuwadharau hawa watu.

Yaani Nyeupe wakawa anaita Ni Nyeusi yenye madoa doa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…