Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

Babu tangu yuu na miaka 98. Namuonaga kama amepungukiwa utambuzi kwa umri na afya yeke hukazania mambo mawili kila siku.
1. Rais Nyerere ni msukuma wa Nassa Busega Simyu.
2. Rais mwinyi ni msukuma wa Kayenze, Ilemela Mwanza.

Ukimuuliza ufafanuzi hata haelewi.

Na Kikwete ni mkwere ali wakwere wengi ni waha na wakongo.

Babu bwana.
Mungu ampe miaka mingu.

Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma wako juu kwa sababu ya kuheshimu kazi. Penda uchukue watoa dada zako sababu wanauchumi. Haha nenda kijiji kwenu uone Ng'ombe.

Kwa sababu ya kazi.
Leo Katavi na Morogoro ni sukuma land. Vijijini huko kuolewa na Msukuma ni bahati hahaha.

Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma kwa ile tuliyoona kwa Magu kamwe hawafai kabisa kuongoza!
Ni wakabila na wabaguzi mno!
 
Ujinga ni kuwaza Ukabila karne hii kila wakati. Ongezeni juhudi tu kuwafanya wasikike kila saa tambueni ipo siku nchi hii hakuna kabila litaweza kuongoza nchi nje na hao unaowataja.

Ukabila haufai kabisa. Lisiwe jambo la kujivunia.
Ujinga ni kujifanya kama huoni elements za ukabila kwenye kile kilichoitwa Sukuma gang. Na bado kwenye mkataba wa DPW elements za udini zilijitokeza waziwazi. Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kupuuza hivi vitu.
 
Ndiyo maana kuna mtu alisema kwenye mada yake moja humu kuwa: ...'Magufuli aliwashinda akiwa hai na atawashinda akiwa kaburini'...πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š!

Hakuna Rais yeyote kabla yake aliyeendelea kuwanyanyasa wapinzani wake baada ya kifo chake kama JPM!

Wanaomtukana ni pamoja na wateule wake aliowathamini na kuwapatia vyeo vikubwa.
 
Sukuma gang kwa sasa ni kama "itikadi". Ni wale watu wa legacy kwa Magufuli. It some sort of what we call "Magufulification". Walio wengi ni wale watu hawakuwa na majina au vyeo vya maana kabla ya JPM. Wengi wao walipewa teuzi au upendeleo na nafuu fulanifulani kipindi cha jiwe. Ingawa nadhani hakuna chama au kikundi kilichoanzishwa rasmi kinachojulikana kama Sukuma gang.

Ni kujidanganya tusipokubali kuwa watu hawa hawana elements za ukabila. Hapana ukabila ni mwingi ktk kile kinachojulikana kama Sukuma gang. Hii inatokana na ukweli kwamba waliokuwa wengi ktk teuzi na hizo nafuu walitokea sehemu moja au ukanda ambao wengi wao ni kabila moja.

Kinadharia mtu atakataa elements za ukabila na sasa udini, lakini kivitendo utakubaliana na mimi kuwa hivi vitu vipo, ingawa si ktk hali ya kutovumilika. Lakini watawala wakiviendekeza kuna siku vitalitafuna taifa.
 
Ujinga ni kujifanya kama huoni elements za ukabila kwenye kile kilichoitwa Sukuma gang. Na bado kwenye mkataba wa DPW elements za udini zilijitokeza waziwazi. Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kupuuza hivi vitu.
Ni wasukuma ndo walijiita "sukuma gang"? embu tukumbushe kidogo.
 
Binafsi nakerwa sana na hilo jina kwa wanaolitumia, wote wanaoita na wanaoitwa kama wapo wanaolihusudu wakiitwa, wasukuma hatujui Majungu wala unafiki ila tunajua kunyooka na tunashirikiana na yeyote anayeweza kunyoosha mambo kama sisi tulivyo, hatujali race ya mtu bali uchapakazi ndio maana utashangaa moja kati ya vigogo wengi wa wanaoitwa sikika gang hata sio wasukuma bali ni watu walioaminika na kupewa nafasi wakachapa kazi na baadae kujumuishwa kwenye hiyo hypothetical gang bila asili yao kuhusiana na usukuma.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa wasukuma haiwekani mkawadhibiti hata iweje huo umasikini mliowatengenezea sio kigezo tena, kusoma wamesoma,, kujitambua wamejitambua na wanauweo wakujifanya ni kondoo lakini yao ni takatifu na imepewa mamlaka ya kuangusha mamlaka ya kidunia. Unafikiri kwanini kiongozi wenu alikimbilia kwenda kuvishwa ngozi ya chui?

Mtafute mzee wa kisukuma kutoka Kwimba atakueleza maana yake kisha linganisha na matokeo ya uamuzi wao utakuwaje.

Chui ni alama ya ulaghai, ubinafsi na uviziaji kwa nia ya kupata kitoweo bila kuthamini uhai wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…