Si rahisi kujifunza kwa mabaya...!Kwa nini aliomba tumkumbuke kwa mema tu na wala siyo mabaya! Hayo mabaya ni yapi? Hakuna la kujifunza kutokana na hayo mabaya?
Tutasingizia na moyo.Kama ambavyo niliambiwa kuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tokea mwaka 1993 alishaambiwa na Madaktari wake huko Ulaya kuwa angeishi tu ndani ya miaka Mitano kutokana na Saratani yake ya Damu ( Leukemia ) kufikia hatua mbaya.......
Au mabeberu wame-hack pacemaker!Tutasingizia na moyo.
WaTz tumekuwa careless sana na covid 19
Inawezekana kweli?Bhasi msimkumbuke mumkomoe [emoji57]
Yeye alijua kafanya makubwa na lazima mumkumbuke kwa sabb hakuna atakaejitoa kama yeye.. Kusisitiza hivi alijua anastahili kuwa mfano mzuri kwa wajao sasa sijui kama wanaomlaumu kaum y wengi au vpInawezekana kweli?
Marehemu Abeid Aman Karume alikuwa akisema hayo na sio hivyo tu alikuwa daima akisema kiasi gani cha fedha zanzibar inazo katika benki ya dunia na kama zikigawanya kila mzanzibari atapata kiasi gani.Hotuba nyingi za JPM alikuwa anapenda sana kutuambia sisi wanyonge kuwa tutamkumbuka! Hakuwa akisema tutakumbuka aliyofanya yeye mazuri.
Ni sawa na kawaida kwa mfano Mwl anapowafundisha wanafunzi kusema mtakumbuka niliyowafundisha lakini hasemi kuwa mtamkumbuka yeye kama yeye.
Nimefuatilia hotuba za watangulizi wa JPM hata huwezi kukuta neno wamejisema wao kama wao kuwa "TUTAWAKUMBUKA". Je Mama yetu Samia Suluhu naye atakuwa anatukumbusha kwa kutuambia kwa maneno yake kuja kumkumbuka huko mbeleni?
Na je hatuwakumbuki watangulizi wa JPM pamoja na kutosema kwao kuwa tutawakumbuka wao kama wao? Just observation!
Mpaka kuomba kukumbukwa!Yeye alijua kafanya makubwa na lazima mumkumbuke kwa sabb hakuna atakaejitoa kama yeye.. Kusisitiza hivi alijua anastahili kuwa mfano mzuri kwa wajao sasa sijui kama wanaomlaumu kaum y wengi au vp
Ingawa ni vipi hawasemi ingawa miaka yote ilikuwa siri nzito na hakuna alokuwa anajua kama marehemu anasumbuliwa na moyo. Maana watu wangelijua basi asingelikubaliwa na wapinzani na hata CCM wenyewe kugombani urais, kwa sababu sahrti moja la kugombea urais ni kuwa mgombea awe na afya njema. Ndio maana nashangaa siku tu iliyotanganzwa kufa amefariki kwa maradhi ya moyo, kikaratasi ya gazeti la miaka nenda kilipatikana na kurushwa mitandaoni na watu wasiojulikana!!!!Au mabeberu wame-hack pacemaker!