Ni Rais gani mwingine aliyekuwa kwenye hotuba zake anawaambia wahutubiwa watamkumbuka?

Maelezo meeengi
Like moja tu Tena kwa ID yako nyingine.
 
Waislamu wanaamini kua MWENYEZIMUNGU hulipa NIA

sasa kama nia ya dhati ilikua kutoongeza muda wa kuongoza basi atalipwa kwa nia njema hiyo na kama ni kinyume cha hapo badi huwa tunalipwa kutokana ni NIA zetu
 
Waislamu wanaamini kua MWENYEZIMUNGU hulipa NIA

sasa kama nia ya dhati ilikua kutoongeza muda wa kuongoza basi atalipwa kwa nia njema hiyo na kama ni kinyume cha hapo badi huwa tunalipwa kutokana ni NIA zetu
Sawa tutalipwa
 
Kama kweli Mh alikuwa na pacemaker, mbna hakuwa kwenda Nje japo kuchekiwa?
 
JPM alijaa akajazwa sifa, kiburi. Hii ilitokana na kwamba alidanganywa akajidanganya kuwa hakuna Rais aliyefanya mambo ya maana km yeye. Waliomtangulia wote hawakufanya kitu.

Aliamini aliaminishwa pia kwamba katika WATZ milioni 60 hakuna anayeweza kuongoz hii nchi ila yeye tu.

Kumbuka kauli yake kwamba Hivi nikiondoka leo rais ajae ataweza kuendeleza hii miradi!!

Alijiona yeye ni yule Masihi ambaye Watanzania walikuwa wanamsubiri. Na ndiyo maana ulisikia kutaka kumlazimisha asalie madarakani hata km hataki. Nani km yeye.

Ila Mungu akaonyesha ukuu wake maana njia za mungu hazichunguziki.
 
Kumbuka hotuba yake ya kwanza wakati Ana lifunguwa Bunge.
Alisema kwamba kazi anayo kwenda kuifanya sio Rahisi kwake Ila Ana Omba Wananchi wamu Ombee Mungu sababu jukumu ni kubwa.

Alijua anacho kwenda kukifanya kwa Nchi Yetu ni jambo litalo weka Maisha yake hatarini.

Wana Siasa Wana jua kabisa kwamba yapo Maamuzi ambayo waki ya fanya Basi Maisha Yao Yana kuwa Hatarini kwa sababu Maamuzi yaku ijenga Nchi kwa Afrika Nikama Kujitowe sadaka na ndio Maana Mnaona wapo Wana Siasa walio Sema Magufuli aki Endelea ivi Basi atakufa kabla yaku Maliza Muhula wake sababu Wana jua Kabisa Maamuzi yaku ijenga Nchi kwa Kiongozi wa Afrika Kifo ndio Malipo yake.
Kuna siri kubwa Ndani ya Siasa za Afrika

Ndio Maana tunabaki masikini jamaa Wana okopa Kufa huo ndio ukweli.
Hawa watu Wanao itwa wahisani sio watu wa zuri hata kidogo.
Haya ni magenga ya Ualifu yame jivika ngozi ya kondoo kumbe Ndani ni mbwa mwitu na Hawa Wana Siasa Wana jua ivo sababu Hawa jamaa hutishiwa Maisha Yao uso kwa uso.
 
So inawezekana wamemfanyizia?
 
Hakuwa msafi kama mnavyo aminishwa bali alikuwa mlaghai wa kisiasa kupitia ujinga wa watanzania, hilo la kujiongezea muda wewe hujui kitu achana nalo lakini kwa vile ndugai yupo labda kuna siku akitaka kutubu ataliweka wazi maana analijua vyema sana sababu na yeye ni sehemu ya mkakati
 
Hakuwa msafi kama mnavyo aminishwa bali alikuwa mlaghai wa kisiasa kupitia ujinga wa watanzania, hilo la kujiongezea muda wewe hujui kitu achana nalo.
Msiba wa wanyonge! Sijui wamebadilishiwa maisha yao kuwa bora kwa asilimia ngapi?
 
Acha kupotosha, siyo walimuona, ndivyo alivyokuwa. Najua wew mnyonge aka Taga utapinga
 
Unataka kusemaje.malizia andiko lako.
 
..pia hakuna aliyekuwa akitoa kauli za MATUSI kama huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…