Ni Rais gani mwingine aliyekuwa kwenye hotuba zake anawaambia wahutubiwa watamkumbuka?

Nani ambaye amekufa huwa hakumbukwi either kwa mema au mabaya yake? Tatizo alikuwa hajiamini kama atakumbukwa huyu mheshimiwa mungu
 
Nani ambaye amekufa huwa hakumbukwi either kwa mema au mabaya yake? Tatizo alikuwa hajiamini kama atakumbukwa huyu mheshimiwa mungu
Alikuwa kama anang'ang'aniza hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…