Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

Sekunde moja baada ya mdahalo kuisha ndiyo itakayoamua aliyefanya vizuri.

Isitoshe, hiyo ni kazi ya wapiga kura hasa wale wasio na vyama (independents) kuamua upande wa kuchagua baada ya mdahalo. Wale wapiga kura kutoka kwenye vyama au makundi kama MAGA huwa hawabadili misimamo yao kirahisi kwa sababu tu ya matokeo ya mdahalo.
Yes,
wale wanachama kindakidaki na wasomi washaamua kulingana na mapenzi na vipaumbele vya sera na mipango ya vyama vyao,

nguvu ya ushawishi mkubwa itaelekezwa kwa vijana, kuhusu ajira na kuwalenga zaidi wale ambao ni undecided na unguarded kuhusu sera za uhamiaji, afya, ulinzi na usalama wa Marekani kwa ujumla, vita Ukraine na Israel n.k🐒
 
WEWE utashuhudia. Sio dunia itashuhudia.

Hapa Mbarali stendi hatuna vocha, wala hatujui mdahalo ni lini na saa ngapi, wala hatuna simu za kisasa, wala nia, wala muda wa kufuatilia siasa za midahalo ya Marekani. Nobody gives a damn!

Hatuelewi, hatujui wanabishania nini, na hatutaki kujua. Hayatuhusu.
pole JF ni familia kubwa na kwakweli ni Jumuiya pana mno, huwezi kosa update ya mdahalo huo, just relax na kufuatilia taratibu humu humu kwa wangwana 🐒
 
Utajifua wakati kumbukumbu zishagoma, yaani msela mzee trump atamchanganya sana
si ndio ameenda kutia kambi huko Camp David na wataalamu wake ili kusisimua uwezo wa kumbukumbu uwe Imara zaidi anapopambana na trump ambae pia ana kasumba hiyo pia 🐒
 
Biden suala la kumbukumbu litammaliza,ningekua Mimi ningegomea mdahalo
ukigomea utapoteza kura nyingi mno,

majirani zetu Kenya, ndugu Raila alitokomea kusiko Julikana kwenye mdahalo wa wangombea urais akalambishwa sakafu na Ruto, halafu baadae analalamika kuibiwa kura 🤣

mdahalo kama upo na umeandaliwa, yafaa ushiriki, una maana kubwa sana. Lakini Tanzania sidhani kama kuna haja ya hilo 🐒
 
ukigomea utapoteza kura nyingi mno,

majirani zetu Kenya, ndugu Raila alitokomea kusiko Julikana kwenye mdahalo wa wangombea urais akalambishwa sakafu na Ruto, halafu baadae analalamika kuibiwa kura [emoji1787]

mdahalo kama upo na umeandaliwa, yafaa ushiriki, una maana kubwa sana. Lakini Tanzania sidhani kama kuna haja ya hilo [emoji205]
Kwa nn Tz hakuna haja?
 
Kwa nn Tz hakuna haja?
haina haja kwasababu,
chama hakina mbunge wala diwani hata moja nchi nzima, kinajadiliana nini na cha yule alie toka kwenye chama chenye wabunge zaidi ya mia4🐒
 
Hivi Biden mwaka huu anaweza kutoboa kweli mbali na kuchaguliwa...!? Maana kuna wakati wala haelewi yuko wapi, anatakiwa afanye nini na ni kiongozi wa Taifa kubwa duniani liliobeba dhima na usalama wa Ulimwengu ila waMarekani wakiamchagua tena watakuwa wameiweka dunia katika hali tete sana
 
pole JF ni familia kubwa na kwakweli ni Jumuiya pana mno, huwezi kosa update ya mdahalo huo, just relax na kufuatilia taratibu humu humu kwa wangwana 🐒
Mida ya mdahalo, mbili usiku ya Marekani ni saa tisa au kumi usiku ya Tanzania.

Hakuna Mtanzania wala mtu yeyote timamu duniani atakesha mpaka saa kumi usiku kukufuatilia umhadithie wamarekani wawili wanabishana siasa zao. We got shit to do next morning !!!!!!!!

Na hapa kijiwe cha boda boda Mbarali Stendi, the guys have no freaking clue, they give no flying fvuck, and will waste no godamn salio eti anafatilia mdahalo Marekani.

WEWE na Marekani na Diaspora mtafuatilia. DUNIA itakuwa imelala, au iko busy na mambo mengine tunayoyaelewa na yanayotuhusu!

HELL TO THE NO! Dunia haisubiri mdahalo!
 
Saa mbili usiku ya Marekani ni saa tisa usiku, kumi usiku ya Tanzania.

Hakuna Mtanzania wala mtu yeyote timamu duniani atakesha au mpaka saa kumi usiku kukufuatilia wewe umhadithie wamarekani wawili wanabishana siasa zao. We got shit to do next morning !!!!!!!!

Na hapa kijiwe cha boda boda Mbarali Stendi, the guys have no freaking clue, they give no flying fvuck, and will waste no godamn salio eti kufuaatilia umhadithie mdahalo Marekani.

WEWE na Marekani na Diaspora mtafuatilia. DUNIA itakuwa imelala, au iko busy na mambo mengine tunayoyaelewa na yanayotuhusu!

HELL TO THE NO! Dunia haisubiri mdahalo!
kwa ajili ya kujifunza, kuongeza ufahamu, uelewa na kujijengea uwezo wa kujenga na kutetea hoja, uwezo wa kujieeleza katika masula mbalimbali ya kisiasa, kijamii kiuchumi, kitaifa na kimataifa..

wenye nia na madhumuni ya kuwaongoza wengine wenzetu, tutajihimu katika kufuatilia mdahalo huo muhimu ili kuchota maarifa yakiwa bado ya moto kabisa, huenda yakasaidia katika ndoto zetu za kua watu miongoni mwa wengine huko mbeleni 🐒
 
Alhamisi ijayo June,27 dunia itashuhudia miamba ya siasa za Marekani ikifanya mdahalo wa kwanza wa wazi kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi November mwaka huu 2024.

Wakati Rais Joe Biden, mwenye umri wa miaka 81, akikita kambi yake ya siri ya maandalizi ya kujifua na mdahalo huo muhimu huko Camp David, rais mstaafu Donald Trump mwenye umri wa miaka 78, alionekana jumamosi hii akiendelea na kampeni zake huko Philadelphia.

Masuala ya umri, utimamu wa fikra na kumbukumbu na utimamu wa mwili na akili vinatarajiwa kuteka sehemu ya mdahalo huo muhimu sana unaosubiriwa kwa hamu na gamu hasa na undecided and unengaged voters wa Marekani...

Kwa maoni yako nani kati yao atamnyong'onyeza mwenzake mapema kwenye mdahalo huu wa kwanza? Na kwanini?

Kuna cha kujifunza kama wa Africa hususani Tanzania?🐒
Hapo yupo mwamba mmoja na poyoyo mmoja😂
 
Hivi Biden mwaka huu anaweza kutoboa kweli mbali na kuchaguliwa...!? Maana kuna wakati wala haelewi yuko wapi, anatakiwa afanye nini na ni kiongozi wa Taifa kubwa duniani liliobeba dhima na usalama wa Ulimwengu ila waMarekani wakiamchagua tena watakuwa wameiweka dunia katika hali tete sana
tuvute subra tuone,
ya Mungu mengi 🐒
 
kwa ajili ya kujifunza, kuongeza ufahamu, uelewa na kujijengea uwezo wa kujenga na kutetea hoja, uwezo wa kujieeleza katika masula mbalimbali ya kisiasa, kijamii kiuchumi, kitaifa na kimataifa..

wenye nia na madhumuni ya kuwaongoza wengine wenzetu, tutajihimu katika kufuatilia mdahalo huo muhimu ili kuchota maarifa yakiwa bado ya moto kabisa, huenda yakasaidia katika ndoto zetu za kua watu miongoni mwa wengine huko mbeleni 🐒

Sahihi kabisa.

Nyinyi mtafuatilia. Sio dunia itafuatilia!

Futa na utubu kauli yako ya DUNIA INASUBIRI!

Dunia is not wrapped around mambo ya Marekani. Hatuyajui, na hayatuhusu, na wakiyaongea hatuwaelewi. Na ya kwetu tukiyaongea hawatuelewi.

Unasemaje una ndoto ya kuongoza wakati hata hujui kwenye vijiji vya Tanzania na Afrika na the Indian Subcontinent na Latin America hakuna mtu ana habari wala access na mdahalo wa Marekani?

Unawezaje kuwa hujui hilo wewe diaspora ???????
 
du
Sahihi kabisa.

Nyinyi mtafuatilia. Sio dunia itafuatilia!

Futa na utubu kauli yako ya DUNIA INASUBIRI!

Dunia is not wrapped around mambo ya Marekani. Hatuyajui, na hayatuhusu, na wakiyaongea hatuwaelewi. Na ya kwetu tukiyaongea hawatuelewi.

Unasemaje una ndoto ya kuongoza wakati hata hujui kwenye vijiji vya Tanzania na na Afrika na the Indian Subcontinent na Latin America hakuna mtu ana habari na mdahalo wa Marekani?

Unawezaje kuwa hujuo hilo wewe diaspora ???????
gentleman,
dunia si ni mimi wewe, Biden, Trump na vyote viijazavyo nchi ambavyo ni mali ya Mungu?
unaepukaje hali hiyo ya wewe na mimi kua sehemu ya dunia?

anyway,
basi sehemu ya dunia itafuatilia kwa karibu sana mdahalo huo muhimu sana wa wagombeaji urais wa Marekani, kwa hatima ya sehemu ya dunia, amani na usalama wake...

hata hivyo,
napenda kuujulisha na kuuthibitishia umma ninaoupenda na kuheshimu sana wa jamii forum fraternity, kwamba mimi sio diaspora, bali ni kijana, kiongozi mnyonge sana nisiestahili wa wananchi huku jimboni kijijini sana, mchana kazi hodari asie choka wala kukata tamaa hata kidogo...

licha ya vikwazo mbalimbali, milima na mabonde mengi sana, setbacks, umaskini , maradhi, dhiki, njaa, kiu n.k katika kuwafanyia kazi wananchi kwa weledi, na kuwafikia wengi zaidi kwa mustakabali mwema wa maendeleo na maisha yao 🐒

si rahisi hata kidogo,
bali kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana...
 
anyway,
basi sehemu ya dunia itafuatilia kwa karibu sana mdahalo huo muhimu sana wa wagombeaji urais wa Marekani, kwa hatima ya sehemu ya dunia, amani na usalama wake...

Enheeee... Sawa kabisa. Aksante.

SEHEMU ya dunia itafuatilia.

Preponderant majority of world population HATUTAFUATILIA. Itakuwa saa 9 usiku, wengi Afrika tutakuwa tumelala. We got shit to do next morning!

Na hatuyajui, na hatuyaelewi kata kata mambo ya siasa za Marekani. Wao sio mhimili wa dunia inapozungukia. Mambo anayoyakataa Putin na Kim Jong Un na Mu-Iran.

The average Mama Ntilie in Mbarari Stendi worrying about price of sugar and rice commodities doesn'f give rat's ass about mdahalo wa Joe Biden.... We have no media access to that stuff, and it has no relevance to us anyhow! We couldn't care less! I am sorry! Hahahaaaaaaaaa...
 
Back
Top Bottom