Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
Yes,Sekunde moja baada ya mdahalo kuisha ndiyo itakayoamua aliyefanya vizuri.
Isitoshe, hiyo ni kazi ya wapiga kura hasa wale wasio na vyama (independents) kuamua upande wa kuchagua baada ya mdahalo. Wale wapiga kura kutoka kwenye vyama au makundi kama MAGA huwa hawabadili misimamo yao kirahisi kwa sababu tu ya matokeo ya mdahalo.
wale wanachama kindakidaki na wasomi washaamua kulingana na mapenzi na vipaumbele vya sera na mipango ya vyama vyao,
nguvu ya ushawishi mkubwa itaelekezwa kwa vijana, kuhusu ajira na kuwalenga zaidi wale ambao ni undecided na unguarded kuhusu sera za uhamiaji, afya, ulinzi na usalama wa Marekani kwa ujumla, vita Ukraine na Israel n.k🐒