Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake.

Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza kunyesha, no mwamvuli na shadow!

20230322_193854.jpg

☝🏾Baada ya kukagua gwaride.

20230318_080526.jpg

☝🏾Akiwa anakagua huku akinyeshewa mvua.

20230318_080523.jpg

☝🏾Picha hii naendelea kuishangaa na kinachonishangaza ni sifa alizodhani atapata mjeshi huyo anayepiga picha.

Hapo kabla hakukuwepo na mvua na alikuwa anatumia hiyo camera kupiga picha matukio na hata baada ya mvua kunya aliendelea nayo pasipo kuikinga na maji ya mvua.

Swali; Ni Rais gani wa Afrika aliwahi kufanya au kukutwa na hali kama hiyo?
 
Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake...
Siasa ni siasa tu.
 
Back
Top Bottom