Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake...
Tatizo lipo katika kitengo cha protokali na utabiri wa hali ya hewa! Walitakiwa kujulisha Walinzi na ADC kutayarisha mwavuli!
 
Hapo kabla alikagua gwalide ndipo mvua ikaanza kunya, no mwamvuli na shadow!.

Unapenda kuandika neno kunya kwenye sms zako naona prediction imekuletea

Aisifuye mvua, imemnyea (itakuwa katohoa toka kwenye hii methali)
 
Tatizo lipo katika kitengo cha protokali na utabiri wa hali ya hewa! Walitakiwa kujulisha Walinzi na ADC kutayarisha mwavuli!
Unadhani kwenye convoy ya rais hamna kitu kama mwamvuli na vitu kama hivyo?.
 
Wazambia wana bahati isiyomithilika.
Ingekuwa huku mngesema anapenda sifa, anapenda camera! Kuna kipindi mlipata Rais akala muhindi happ dodoma katikati mkamtwika majina yote kuonesha kama ni mlaghai ila alipotoka Balozi wa US nchini Tanzania kwenda Mbeya akala muhindi mkasema hana baya mkasifu kweli! Watanzania alieturoga kasha kufa na hatutopona
 
Tunataka uhalisia sio maigizo,muuza mahindi na bastora wapi na wapi?
 
Ingekuwa huku mngesema anapenda sifa, anapenda camera! Kuna kipindi mlipata Rais akala muhindi happ dodoma katikati mkamtwika majina yote kuonesha kama ni mlaghai ila alipotoka Balozi wa US nchini Tanzania kwenda Mbeya akala muhindi mkasema hana baya mkasifu kweli! Watanzania alieturoga kasha kufa na hatutopona
Ujinga wala hawajarogwa. Ukiwatoka huo ujinga, watajitambua.
 
Back
Top Bottom