Ni rapa gani alikufanya uanze kusikiliza mziki wa HIP-HOP?

Ni rapa gani alikufanya uanze kusikiliza mziki wa HIP-HOP?

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Leo muziki wa hiphop unatimiza miaka 52 tangu kuanzishwa ukiwa kama shabiki wa muziki huu wa Hiphop tuambie

Ni Rapa gani alikufanya uwe shabiki wa Hiphop?

Soma pia: Support ya media kwa wasanii wa hip hop jijini Mwanza

Screenshot 2025-08-12 070910.png
 
Notorious big na jay z. Yale mawe yao ya big poppa na HOVA niliyasikia nikiwa darasa la 4 mwaka 2001 ndio yalinifanya nipende hip hop mpaka leo ni shabiki wa hao jamaa wawili
 
Back
Top Bottom