Ni rapa gani alikufanya uanze kusikiliza mziki wa HIP-HOP?

Ni rapa gani alikufanya uanze kusikiliza mziki wa HIP-HOP?

Wapo wengi sana Nas Eminem 2pack big 50 cent ice cube rakim method man Jay z fat joe
 
T.I.P au T.I jamaa namkubali sana halafu na The Game.
 
Fugees, Naughty by nature, Jadakiss, BIG, Pac, Immortal technique, Martial Mathers, Ice Cube, daah mpaka nimewasahau
 
Back
Top Bottom