Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!

Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.

Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.

Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.

Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)

Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
 
Tundu hawezi mchanganya mtu weee
 
Wamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
 
Hii propaganda yenu ilishazikwa kitambo. Kwani Lema kawa mmasai siku hizi? Mbona anamuunga mkono Lissu na akawa wakala wake kwenye kuhesabu kura?
 
Mtu aliyeitetemesha CCM ni Mbowe, na tumefanikiwa kumuondoa kupitia Lissu. Sasa hivi ni iyena iyena tu.
 
Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!

Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.

Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.

Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.

Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)

Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Akina Mwashamba na Tlaatlaah wawabie ukweli maboss wao na wasiwe na hofu ya kusitishwa posho zao.
 
Kwa kuwa mumemchagua kibaraka Lisu kutoka Jupiter au? 😆😆
 
Back
Top Bottom