Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!

Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.

Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.

Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.

Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)

Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Kwakweli mpakwa mafuta wa ubeligiji
 
Polee sana. Ila Bil 12 ni nyingi sana aisee.

Hivi mlizipata wapi hadi kuwahonga kina Wenje na Sugu?
Kwa bahati mbaya kundi la Lissu mna kiwanda cha kufyatua tuhuma na kejeli. Bahati nzuri ni kuwa chama chenu kimeshajifia kifo cha asili.
 
Unatakiwa kujua bila ku Google.

Ukiwa hujui uka Google pia utakuwa umeongeza msamiati.

Tatizo si mimi, hicho ni Kiingereza cha kawaida tu.

Tatizo ni wewe, hujui hata Kiingereza cha kawaida tu.
Nikijua whatdyudyudyu na how ayuu na kisukuma changu kinanitosha. Uligwa?
 
Back
Top Bottom