Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Hata Lissu alikuwa hana nia ya kuwania uenyekiti CHADEMA mpaka Wenje alivyotangaza nia kugombea umakamu mwenyekiti CHADEMA.

Ndiyo Lissu akasema mkimwaga ugali namwaga mboga.

This is serendipity.
Duh,inaeleza mengi kuhusu mshikamano ndani ya chama
 
Wamerudi wote dadeki. Kweli Lissu effect si mchezo
Kuna Jamaa anaitwa Molemo hajaonekana humu kwa miaka takribani 3 kaja mwezi huu tu wa January Wakati wa Mbowe vs Lissu Sagga

Huenda tusimuone tena for the next 5yrs
 
Sijasema umeniambia hili ni tatizo langu.

Nimekuambia hilo ni tatizo lako, si langu.

Kama wewe hujui Kiingereza jifunze, usinizingue mimi kwa sababu wewe hujui Kiingereza.

Jifunze Kiingereza. Usinishumike shati mimi kwa sababu wewe hujui Kiingereza.
Kwanza sijakuzingua ila nilikuuliza
Binadamu wa kawaida huwa wanajibu maswali
Na hiyo usinishumike shati nacho ni kiswahili
Inabidi nikajifunze
Maana naona sijui lugha yoyote
 
Pengine tatizo lako hujui mantiki katika lugha yoyote.
 
Umeanza vizuri ila hapo mwisho kwenye mpakwa mafuta,umeharibu kila kitu,ila kumbuka hata Lisu mwenyewe hakutarajia kama angekuwa mwenyekiti.aliingia tu kama kukomoa vile baada ya kuona kuna mtu anataka kuwa naibu mwenyekiti.
Kitakachotokea na CCM kupata upinzani wenye nguvu,ila kwa aina ya wapinzani tuliona nchini,kuishusha CCM bado ni ngumu mno
 
Sema kwa wizi wa kura uliopo nchi hii kuishusha ndio ngumu,upinzani una nguvu ya kutosha tu,tatizo wezi
 
Umeanza vizuri ila hapo mwisho kwenye mpakwa mafuta,umeharibu kila kitu,ila kumbuka hata Lisu mwenyewe hakutarajia kama angekuwa mwenyekiti.aliingia tu kama kukomoa vile baada ya kuona kuna mtu anataka kuwa naibu mwenyekiti.
Kitakachotokea na CCM kupata upinzani wenye nguvu,ila kwa aina ya wapinzani tuliona nchini,kuishusha CCM bado ni ngumu mno
Jipe moyo
 
Nasikia hata lile baraza lao wanakwenda kulipangua yaani hawaamini kinacho endelea ni misi na upepo
 
Back
Top Bottom