Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Sukuma gang wameshajitoa kwenye hilo kundi. Na hao wapo Milioni 8

Hatujaweza waliochukizwa na utaratibu wa kuteua wagombea Dodoma.
Lissu akijitahidi sana atapata asilimia saba au nane ya kura zote zitakazohesabiwa.

SSH amefanya kazi nzito na ya kisayansi ndani ya miaka minne baada ya kifo cha JPM.
 
Ili tukagoogle au sio
Unatakiwa kujua bila ku Google.

Ukiwa hujui uka Google pia utakuwa umeongeza msamiati.

Tatizo si mimi, hicho ni Kiingereza cha kawaida tu.

Tatizo ni wewe, hujui hata Kiingereza cha kawaida tu.
 
Unatakiwa kujua bila ku Google.

Ukiwa hujui uka Google pia utakuwa umeongeza msamiati.

Tatizo si mimi, hicho ni Kiingereza cha kawaida tu.

Tatizo ni wewe, hujui hata Kiingereza cha kawaida tu.
Wapi nimekwambia hilo ni tatizo lako ?
Hicho kingereza cha kawaida ndio kingereza gani ?
 
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada @Ritz @Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina @Lucas Mwashamba @ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Nimewaona akina Laki Si Pesa waliokimbia enzi za Magu, nikashangaa sana.

Hata Faiza Foxy karudi.

Hivi juzi niliona post ya Msaga Sumu na Magamba Matatu
 
Wapi nimekwambia hilo ni tatizo lako ?
Hicho kingereza cha kawaida ndio kingereza gani ?
Sijasema umeniambia hili ni tatizo langu.

Nimekuambia hilo ni tatizo lako, si langu.

Kama wewe hujui Kiingereza jifunze, usinizingue mimi kwa sababu wewe hujui Kiingereza.

Jifunze Kiingereza. Usinishumike shati mimi kwa sababu wewe hujui Kiingereza.
 
Mtu aliyeitetemesha CCM ni Mbowe, na tumefanikiwa kumuondoa kupitia Lissu. Sasa hivi ni iyena iyena tu.
Mama alimuona Simba zoo, akajikuta anamuita simba huyo TAL. Waza mama Kizimkazi aliwaza nini utaelewa.
 
chadema ndio wanatutafuta uchokozi uzuri chama cha mapinduzi ni kikomavu kisiasa huko tumeshapita ndugu
Iwapo wamekomaa wanawezaje kupeleka ugomvi kwa jirani mpole na mtulivu wenye nia njema na wote .
 
Back
Top Bottom