MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Kwa hiyo nitakuwa roboti au unasemaje kiongozi ?Wewe kwanza hata si binadamu, achilia mbali wa kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nitakuwa roboti au unasemaje kiongozi ?Wewe kwanza hata si binadamu, achilia mbali wa kawaida.
That is a non sequitur fallacy, it is also a false dichotomy fallacy.Kwa hiyo nitakuwa roboti au unasemaje kiongozi ?
We jamaa ukishalewa sasa unaandikaga tu kutuchanganyaThat is a non sequitur fallacy, it is also a false dichotomy fallacy.
Chawa Mwashambwa lazima ccm it’s time mjue kuwa wa Tanganyika wa leo sio wa jana! Mbinu zenu za kuhonga na kutumia jeshi la Polisi zitagonga Mwamba! Wananchi wamechoka , hawaogopi tena kufa kwani Hawaoni tena tofauti ya kufa au kuishi! Bora kufia vitani kuliko kufa kitandani kwa malaria. Ndio ccm ilipowafikisha wananchi hata huko kwenu Mbozi.Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe kama mjinga vile.
We jamaa ukishalewa sasa unaandikaga tu kutuchanganya
Sasa kitu gani unatumia mbona kama umechangamka sanaThis logical fallacy is called ad hominem.
Sijatumia kilevi chochote tangu January 1 2024.
Wewe ndiye umedorora sana hujui hata serendipity ni nini.Sasa kitu gani unatumia mbona kama umechangamka sana
Ndio sijui ila haimaniishi kwamba sipumuiWewe ndiye umedorora sana hujui hata serendipity ni nini.
This logical fallacy is called non sequitur.Ndio sijui ila haimaniishi kwamba sipumui
Kwa hiyo Nika google au Sio mastaThis logical fallacy is called non sequitur.
Kwa sasa nakupeleka ignore list tu.Kwa hiyo Nika google au Sio masta
😁😁😁😁 Lissu mpakwa mafuta wa Bwana,Hata Lissu alikuwa hana nia ya kuwania uenyekiti CHADEMA mpaka Wenje alivyotangaza nia kugombea umakamu mwenyekiti CHADEMA.
Ndiyo Lissu akasema mkimwaga ugali namwaga mboga.
This is serendipity.
Dah CCM nawaonea huruma sanaNapenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Jamaa alisema kuna Yesu Kristo halafu kuna Lissu Kristo 😂😂😂😁😁😁😁 Lissu mpakwa mafuta wa Bwana,
500?.Wamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
Alafu naskia wanavuta parefu kichizi yaaani kwa kuletaga uharo wao humu jamvini
Kama mmeanza kuvunja katiba yenu wenyewe kumpitisha binti kiziwi hizo ni dalili za kupanicKuna muda tunafurahishana tu, ila hamna siasa za upinzani kumpiku ccm, never on earth. Tusubiri 2025. Huku hakuna wajita , wakurya au wachaga, huku ccm kuna watanzania wote. Leteni mzaha mzaha wenu tu.
Watanzania wanaipa nguvu CCM ndio maana wakawaengua wapinzani 98% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ili CCM ipite kwa kishindo. DelusionaryPambaneni, TISS, waingie basi chadema, maana kama wao ndio kila kitu, na bado wapo ccm, sasa kwann mnapambana kudanganua watu mitandaoni, still bado mnachekesha tu. Na kama Watanzania sio wanaoipa ccm nguvu, basi, hao TISS wako hatuwaachi, na watanzania hatuwaachi.
Kama msingempiga zile risasi 16 angekimbilia huko nje? Hujui au kichwa kimedata kwa bangi?Mtu ambae familia yake Iko Nje ya Nchi na ambae Huwa anakimbilia Kwa hao akizingua wewe unadhani ni nani?