RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Intelligence ya ccm ilitaka ku spin uchaguzi wa chadema siku mbili kabla Kwa maamuzi waliyofanya pale Dodoma!Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Mzee kikwete alisema wazi tujiandae uchaguzi utakua mgumu sana!
Yale maamuzi waliyofanya pale dodoma ndio yanaenda kukitesa chama kabisa lakini ndio calculated movement ya dola hiyo na ushindi wa Lisu ndio matakwa ya Tanganyika Ili atumike kumuondoa "Mama mzanzibari anaeuza Mali za Tanganyika"
Kazi tunayo!
Mpina aende mahakami kupinga kuvunjwa utaratibu wa chama katika uteuzi wa mgombea!