Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #81
Sukuma gang wameshajitoa kwenye hilo kundi. Na hao wapo Milioni 8Hoja za kujifariji hizi. CCM nchi nzima ina wanachama milioni 12.5 bado wale wapiga kura wapya inaowapata siku za kuelekea uchaguzi mkuu.
Hatujaweza waliochukizwa na utaratibu wa kuteua wagombea Dodoma.