kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa Serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.
Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act Wazalendo bega kwa bega na Serikali.
SIASA SIO UADUI!