kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Weka barua ambayo CHADEMA wanakiri uchaguzi ulikuwa huru na haki.Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.
Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act wazalendo bega kwa bega na serikali.
SIASA SIO UADUI!View attachment 2139604View attachment 2139605
Kama kusoma hujui basi kuangalia picha pia ni kazi!Mbowe kasema hayo ama umejiongeza tu?
Kwenu wafia chama Mbowe anakwenda kuwa balozi ughaibuni ndio mtajua hamjui!Kwanini hampendi Samia na Mbowe wazungumze pamoja? Mtapata tabu sana mambo ndio kwanza yanaanza.
Halali ni halali na haramu ni haramu, na kamwe halali haigeuki kuwa haramu Kwa maneno na hivyo hivyo, haramu haiwezi kugeuzwa kuwa halali kwa maneno.Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.
Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act wazalendo bega kwa bega na serikali.
SIASA SIO UADUI!View attachment 2139604View attachment 2139605
Unaweweseka ili muradiAlihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.
Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act wazalendo bega kwa bega na serikali.
SIASA SIO UADUI!View attachment 2139604.View attachment 2139605
Kama ulivyoweweseka wewe ukaandika tu!Unaweweseka ili muradi
Uandike chochote mpumbavu wewe
Ila hiki kitendo kimewaumiza Chawa!!! Hivi kumbe ni kweli kuna watu mnaumia Sana Watanzania wakiwa wamoja? Kuna watu mnafaidika Kwa ugomvi wa kisiasa kiasi kwamba kukiwa na utangamano maslahi yenu yanatikiswa? Mmezoea kuishi Kwa uongo mkiwaakijisha viongozi wa serikali Mambo yasiuokuwepo? Ni nyie mliokuwa mnawadanganya watanzania kwamba upinzani ukiingia madarakani utaleta Vita? Hayo yamepuuzwa mmekuja na mbinu nyingine za kijinga kama hizi? Nani kakwambia Wanachama wa CHADEMA ni wa kuyumbishwa na propaganda nyepesi kama hizi?Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.
Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act wazalendo bega kwa bega na serikali.
SIASA SIO UADUI!View attachment 2139604View attachment 2139605
Mc= muandika chochote. Hovyo wewe.Kama ulivyoweweseka wewe ukaandika tu!
Ama kweli wewe una Kipara kipya lakini akili ni ile ile ya kidwanzi! Nani alikwambia CDM haitambui serikali? Na sasa tunaanza moja kuwapiga masalia ya mwendachato, mtaani, mitandaoni mpaka kwenye sanduku la kura! Nyambafu Sao! [emoji2]Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa serikali ya awamu ya tano na sita zilichaguliwa kihalali kwa kura halali na tume halali na matokeo yalikuwa halali.
Kwa muda mrefu viongozi hawa walipinga kwenda ikulu kuonana na raisi kwa kuwa uchaguzi haukuwa huru na vice-chairman alikwenda mbali kwa kuuita uchafuzi.
Angalizo wafia chama muwe na akiba ya maneno viongozi wenu ndio wenye maamuzi,
Kesho wanaweza kuamka wakawa kama Act wazalendo bega kwa bega na serikali.
SIASA SIO UADUI!View attachment 2139604View attachment 2139605
Chuki uliyonayo kwa Rais Samia kukutana na Mbowe haijifichi.Kwenu wafia chama Mbowe anakwenda kuwa balozi ughaibuni ndio mtajua hamjui!
Anatafuta sifaMbowe kasema hayo ama umejiongeza tu?