Ni rasmi CHADEMA wameitambua Serikali ya awamu ya 5/6 na uchaguzi ulikuwa huru na haki

Mtakufa kwa Presha na CHADEMA nani kamwita mwenzake?
 
Wewe sio Bure, lazima utakuwa na Bwana CDM anayekupiga Pumbu
 
Chawa na MÀTAGA ya CCM roho ximewauna sana, Mama kuyaacha kwenye mataa.
 
CHADEMA walioikataa ni serekali ya Magufuli, CCM ya Magufuli na Tanzania ya Magufuli hiyo ndiyo iliokataliwa na mpaka sasa bado inakataliwa hata Mkapa mwenyewe pamoja na wanaccm asiri nao waliikataa.

CHADEMA wanaikubali na watashirikiana na serekali iliopo madarakani kwa mjibu wa katiba siyo serekali ya kuongozwa na mtu aliyekuwa anaongoza nchi kwa kutumia remote ya wachawi wa gamboshi.
 
Uchaguzi wa mchongo,Rais wa mchongo🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
🤣🤣
 
Mbowe kasema hayo ama umejiongeza tu?
Taahira limejiongeza tu!
Taahira limejitahidi kudadavua mada!
 
Mbona mataga mnahangaika shida nini?
 
Unajua sifa za Chama kuwa Chama kikuu Cha upinzani?
Kama hao ACT ndio Chama kikuu,mbona hawajaunda Kambi rasmi ya upinzani bungeni?[emoji2][emoji2]
Jua wewe ili ufundishe wengine kuwa chama kina mbunge mmoja wa kuteuliwa na 19 viti maalumu ndio chama kikuu cha upinzani!
 
Kwanini hampendi Samia na Mbowe wazungumze pamoja? Mtapata tabu sana mambo ndio kwanza yanaanza.
Wachana nao wote wanao lalamika Mbowe kukutana na Rais ni pangu pakavu tia mchuzi wanafiki wakubwa mbona hawakulalama Lisu alipo kutana niwazandiki wapenda vita na migogoro laanakum hao
 
DPP aliogopa washitakiw wakianza kujitete mambo ya hovyo yangenulikana
 
Yah, pamoja na haya tunatarajia aje mtaani atuambie vile alipanga kujitetea
 
Yah, pamoja na haya tunatarajia aje mtaani atuambie vile alipanga kujitetea
Yes,Mbowe ndiye mtu pekee ambaye anafunguliwa kesi na mpaka kesi inafutwa hajatoa maelezo yoyote!Yaani hajasema neno zaidi ya kusema wananyimwa chakula Kwa miezi yote wanapoenda mahakamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…