Ni rasmi CHADEMA wameitambua Serikali ya awamu ya 5/6 na uchaguzi ulikuwa huru na haki

Mnampeleka vipi gaidi kua balozi? Mtuweke wazi tuwaelewe maana mnatuona kama wa chekechea
Hukutegemea kwenda ikulu hilo ni kama alivyofanya lowassa alipokuwa ufipa naye muda ukifika pia utajua kama hujui!
 
Kwani kuitambua Serikali ni kufanya Nini?
Kuongea na Rais ,kwenda Ikulu au kufanya nini?
 
Mbowe sio mwanaharakati ni mwanasiasa na ni mtoto wa mjini.yajayo yanafrahisha,mama hawezi yote akafanya kwa pamoja mwacheni apige kazi.
 
Mie naona wameamini kuwa Magufuli amekufa na watesi wao wako hoi
 
Unafiki wao ulianza kitambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…