Kigoma Region Tanzania
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 230
- 611
Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako.
Hii ni heshima kubwa kwako mwanakigoma, sasa ni wakati wakuvaa kilicho bora.
Logo ya 'umoja' ya ''Tanzania People's Defence Force'' itakua kifuani kwako kuanzia Tarehe 10/8/2023, siku ya Alhamis.
Hizi ndio jezi rasmi za Watanganyika kwa msimu wa mwaka 2023-2024
Utaratibu wa kupatikana kwake na Maduka yatakayouza jezi zetu yatatangazwa kabla ya siku husika.
Jezi zitapatikana Nchi nzima kwa bei rafiki, hii ndio Mashujaa Football Club
Je utapenda kuvalia nyeupe?
...............
Au utavalia mawese?
,,,,,,,,,,,,,,
Au utavalia rangi ya Ziwa Tanganyika?
................
Karibuni Kigoma, karibuni Magharibi mwa Tanzania, Karibuni Tanganyika