Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Sababu kubwa nadhani ni uchache wa viumbe wenye mizigo mikubwa kwani kama wangekuwepo wengi tusingekua tunageuka sana.

Nimebahatika kufika Botswana ambako na amini karibia wanawake wote ni kama wamechongwa, siku ya kwanza niliumwa shingo nikanywa diclopar. Wanaume wa kule hawashangai zigo coz kila mwanamke analo kigezo sura.Nilipo rudi bongo nilikua na stress wiki nzima kwa kukosa kuona mizigo ya ukweli.
 
Madame B
Inaonyesha unaye Zigo la kuvunja chaga, hahahaaa . Ngoja niuze makinikia yangu nije nisalimie nyumbani, naweza kuwa mkwe nikatoa mang'ombe.
 
Sababu kubwa nadhani ni uchache wa viumbe wenye mizigo mikubwa kwani kama wangekuwepo wengi tusingekua tunageuka sana.

Nimebahatika kufika Botswana ambako na amini karibia wanawake wote ni kama wamechongwa, siku ya kwanza niliumwa shingo nikanywa diclopar. Wanaume wa kule hawashangai zigo coz kila mwanamke analo kigezo sura.Nilipo rudi bongo nilikua na stress wiki nzima kwa kukosa kuona mizigo ya ukweli.
Pole sana kaka yangu!! Basi kaka yangu siku ukienda Lesotho, Swaziland, Eastern Nigeria, South Africa (Mpumalanga, Kwazulu na Eastern Cape), (Igbo land) au Western Nigeria (Yoruba land) utabidi ni jina tu lirudi maana wewe utakuwa tayari ume-RIP kwa mfadhaiko!!!! Samahani kwa kukupa ukweli wa mambo!!
 
Botswana, Zimbabwe, south Africa, Swaziland ,zambia,malawi ,mozambique nimefika dada na nikarudi Tanzania salama tu.Hupenda kutazama tu sio mlafi
 
Umetisha dada mkubwa, kweli unawajua vizuri hawa watu. Kuna siku nikiwa pale k/koo nilimuona dunga dunga anamdunga dada flani, kulikuwa na mchezo wale jamaa wanaochekesha, bahati nzuri karibu yangu kulikuwa na JWTZ mmoja, nikamstua kimya kimya nikamuonyesha tukio, Zakari ilikuwa nje kabisa, na muda huo wazungu walishaanza kutoka. Dunga dunga alikula kichapo toka kwa mzee wa kazi jwtz,
Dah...mie sijawahi kutolewa ubbooo aisee
Ngoja nizidishe mbwembwe nijue inakuwaje....
Yaani sijui mnapata ashki gani....mkigusa tu makalio mnasimamisha?
Mbona sisi hatusimamishi tukiona mbele pametuna?
 
Siku hizi naimani hawapo tena hao watu
 
Mie nishamtafuna mtalon na kukwanguliwa na pikipiki kisa msambwanda
 
Mi nilivumilia nikashindwa, hata mke wangu tukiwa safari moja hana neno nakodoa tu
 
Back
Top Bottom