ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Sababu kubwa nadhani ni uchache wa viumbe wenye mizigo mikubwa kwani kama wangekuwepo wengi tusingekua tunageuka sana.
Nimebahatika kufika Botswana ambako na amini karibia wanawake wote ni kama wamechongwa, siku ya kwanza niliumwa shingo nikanywa diclopar. Wanaume wa kule hawashangai zigo coz kila mwanamke analo kigezo sura.Nilipo rudi bongo nilikua na stress wiki nzima kwa kukosa kuona mizigo ya ukweli.