Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Wewe tu na nguvu zako za kunimudu.Mzee wangu Asprin najua hatahitaji ngo'mbe nyingi, pia kama utakuwa na sifa ya ziada (cheupe) nitampa ng'ombe 10.
Ila hiyo Id yako inasadifu kweli au jina tu?
Weeee....Gongo la Mboto, Mbagala huko kwenye misongamano wapo teleeeSiku hizi naimani hawapo tena hao watu