Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Napataga tabu sana nikiwa na beibe wangu maana kinaweza pita chombo hiko lakini lazima nae akione then anakusubiria iangalie tu alianzishe[emoji23][emoji16][emoji16]
 
Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
Macho yamekosa pazia
 
Umetisha dada mkubwa, kweli unawajua vizuri hawa watu. Kuna siku nikiwa pale k/koo nilimuona dunga dunga anamdunga dada flani, kulikuwa na mchezo wale jamaa wanaochekesha, bahati nzuri karibu yangu kulikuwa na JWTZ mmoja, nikamstua kimya kimya nikamuonyesha tukio, Zakari ilikuwa nje kabisa, na muda huo wazungu walishaanza kutoka. Dunga dunga alikula kichapo toka kwa mzee wa kazi jwtz,
Dah, sasa jamaa hapo boxer yote mbichi.
 
mmmh!! propotional and managable
IMG-20170602-WA0003.jpg
 
Wewe tu na nguvu zako za kunimudu.
Ila hiyo Id yako inasadifu kweli au jina tu?

Weeee....Gongo la Mboto, Mbagala huko kwenye misongamano wapo teleee

Kwa kiasi flani inasadifu, ndiyo maana kuna wakati nikasema nikiuza makinikia (waswahili pia wanaita Shabo) , nitakuja kuutolea ng'ombe mzigo wa kuvunja chaga.
 
Kwa kiasi flani inasadifu, ndiyo maana kuna wakati nikasema nikiuza makinikia (waswahili pia wanaita Shabo) , nitakuja kuutolea ng'ombe mzigo wa kuvunja chaga.
Karibu nyumbani
 
Maandiko matakatifu yanasema, kama kiungo cha mwili kinakufanya ushindwe kuhimili kuepuka dhambi, basi ni heri kuondoa iko kiungo kuliko adhabu utakayoipata siku ya mwisho. Kwa hyo mkuu, unaonaje ukayanyofoa hayo macho? Mana inaonekana umeshndwa kuya dhbiti macho yako
 
Mambo ya Sara Baartman hatari sana shekhe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
du zigo habar nyingine aisee..hata mademu huwaangalia wenzao ambao wamejaliwa zaid...
 
Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
law of nature UNLIKE CHARGES ATTRACT
 
Back
Top Bottom