Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara
Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU
Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani?