Ni sababu ipi ilifanya Mungu akaacha kuongea na binadamu kwa ishara?

Ni sababu ipi ilifanya Mungu akaacha kuongea na binadamu kwa ishara?

Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale

Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara

Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU

Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani?
Una uhakika Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale

Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara

Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU

Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani?
Mbona Nabi mkuu Geordavie anapiga naye story fresh tu?
 
Dhambi,ukisoma biblia kuna sehemu imeandikwa,"dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu(presence of God),hicho ndio sababu kubwa na Mungu jinsi alivyotuumba anatamani sana muda wote tuwe pamoja nae tukifanya mazungumzo mbali mbali.
 
Back
Top Bottom