Shukran nimebadilishamungu [emoji777]
Mungu/MUNGU [emoji736]
kama kuna kitu kipya ataongea tu, unataka aongee niniWanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara
Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU
Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani?
Mungu yuko ndani yetu siku zote kwa namna ya Roho Mtakatifu kupitia Imani kwa Bwana wetu Yesu Kristo
Kwani zamani alikuwa anawaambia nn?kama kuna kitu kipya ataongea tu, unataka aongee nini
Nani aliwahi ongea naye? Km kina nabii musa enzi izoKwani nani Kasema hafanyi siku hizi?
kwahiyo unataka aongee hayo ya zamaniKwani zamani alikuwa anawaambia nn?
Mkuu hayo ni mambo ya mahusiano kati ya mtu na Mungu. Kwa mfano Mimi nikiongea niite ITV wake wachukue habari. Naamini Mungu ni yuleyule na Bado anawasiliana na watu wake.Nani aliwahi ongea naye? Km kina nabii musa enzi izo
Unahisi yeye hapendi tuujue ukweli?Uhuru umezidi sana nchi hii mpaka watu wanapata wakati wa kumjadili Mungu bila hofu wakati Biblia inasema Akili zake hazichunguziki
Mimi hupata maono mengi tu kutoka kwa Mungu kwa njia ya ndoto. Pia huona ishara na kuweza kuzielewa.Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara
Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU
Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani?
Jibu kama swali lilivyouliza Mussa alisoma wapi Hilo neno?Mungu yuko ndani yetu siku zote kwa namna ya Roho Mtakatifu kupitia Imani kwa Bwana wetu Yesu Kristo mwokozi.
Mungu anaongea nasi kupitia Neno lake, ukitaka kumsikia soma Neno lake...
Barikiwa
Umeona na ww kwann watu hawatafakari maswali wanakujaga na vifungu na kupaste tuJibu kama swali lilivyouliza Mussa alisoma wapi Hilo neno?
Mungu bona aiwai kuishi hapa duniani akawa anaongea na watu anatembea wanamfata alizaliwa kisha watu alio waumba wakamuua wakamtundika msalabani ndio kusema hilo ulijui huyo ni mungu wenu unataka mungu gani tena?Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara
Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU
Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani?
Amkaa umelala usingizi fofofoMungu bona aiwai kuishi hapa duniani akawa anaongea na watu anatembea wanamfata alizaliwa kisha watu alio waumba wakamuua wakamtundika msalabani ndio kusema hilo ulijui huyo ni mungu wenu unataka mungu gani tena?
Biblia ipi hiyo?Kwa sababu Biblia ina kila kitu Mungu anataka kutoka kwa wanadamu hivyo hana haja ya kutumia ishara tena