run CMD JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 3,185 Reaction score 3,909 Jan 24, 2023 #21 wangatala said: Biblia ipi hiyo? Click to expand... Kwani wewe unafahamu ipi
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Jan 29, 2023 #22 donga said: Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani? Click to expand... Una uhakika Mungu yupo? Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
donga said: Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani? Click to expand... Una uhakika Mungu yupo? Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jan 29, 2023 #23 donga said: Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani? Click to expand... Mbona Nabi mkuu Geordavie anapiga naye story fresh tu?
donga said: Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi hatuna imani? Click to expand... Mbona Nabi mkuu Geordavie anapiga naye story fresh tu?
Mhemba Member Joined Aug 20, 2019 Posts 64 Reaction score 115 Jan 29, 2023 #24 Dhambi,ukisoma biblia kuna sehemu imeandikwa,"dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu(presence of God),hicho ndio sababu kubwa na Mungu jinsi alivyotuumba anatamani sana muda wote tuwe pamoja nae tukifanya mazungumzo mbali mbali.
Dhambi,ukisoma biblia kuna sehemu imeandikwa,"dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu(presence of God),hicho ndio sababu kubwa na Mungu jinsi alivyotuumba anatamani sana muda wote tuwe pamoja nae tukifanya mazungumzo mbali mbali.