E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,151 Reaction score 3,493 Mar 21, 2024 #1 Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa Kuna anaejua kwanini ilitolewa? Je ilikuwa inapotosha umma au?
Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa Kuna anaejua kwanini ilitolewa? Je ilikuwa inapotosha umma au?
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Mar 21, 2024 #2 Ipo wapi hyo video
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Mar 21, 2024 #3 Iweke
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 7,704 Reaction score 9,186 Mar 21, 2024 #4 Error 404 said: Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa Kuna anaejua kwanini ilitolewa ? Je ilikuwa inapotosha umma au ??? Click to expand... basi sikiliza hii Your browser is not able to display this video.
Error 404 said: Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa Kuna anaejua kwanini ilitolewa ? Je ilikuwa inapotosha umma au ??? Click to expand... basi sikiliza hii Your browser is not able to display this video.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Mar 21, 2024 #5 Mafisadi yanafika hata YouTube na kufuta video?? Hatari! Mbele ya pesa unasafishwa!
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,735 Reaction score 2,123 Mar 21, 2024 #6 Wq 900 Itapendeza zaidi said: basi sikiliza hii Click to expand... wakiwa hawalambi asali,huwa wanaongea sense
Wq 900 Itapendeza zaidi said: basi sikiliza hii Click to expand... wakiwa hawalambi asali,huwa wanaongea sense
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Mar 21, 2024 #7 Nape mwenyewe atakuwa kafuta kwa kuwa awamu hii analamba asali.