jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hapa tulipigwa mchana kweupe..watu kila siku wanapasua ardhi na kulaza mabomba ya maji na mafuta..kutomboa miamba mikubwa hadi ya chini ya bahari."Wala usitembee katika ardhi
kwa maringo; hakika wewe huwezi
kuipasua ardhi, wala huwezi kufikia
urefu wa milima."
~17 Qur an
Pitia tena hio AyaHapa tulipigwa mchana kweupe..watu kila siku wanapasua ardhi na kulaza mabomba ya maji na mafuta..kutomboa miamba mikubwa hadi ya chini ya bahari.
Watu wameshapanda vilele vyote vya milima duniani na kuvipita juu yake zaidi hadi nje ya dunia.
Hizi ngano za wazee hazina halisia kabisa katika dunia yasasa..yenye maendeleo makubwa ya kisayansi na kitekinolojia.
#MaendeleoHayanaChama
kwenye hizo line za mwisho, hakika ada haikwenda bure.I mean why the hell would you give a damn about someone's life!
That sounds a lot like bullshit to me.
Kayumba hiyo mzee, cha kuombea maji siku tukigeuka wakimbizi ughaibuni.kwenye hizo line za mwisho, hakika ada haikwenda bure.
Huenda ni kweli huwa wamejinyea ila wameji seal harufu haitokikutembea kama mtu aliyejinyea
Hawana tofauti na mademuSIKU NIKIKUTANA NA TOZI LAZIMA NIMTONGOZE.
Mtazamo kama huu ndo unaharibu hiki kizazi, as long as upo kwenye jamii maisha yako sio yako peke yako na ndo maana tunapiga sana kelele kuhusu ushoga kwa sababu mmoja akianza tu haitoshia kwake. Kama tunataka tuwe na taifa lililostaarabika basi kila mmoja atapigiwa kelele kuhusu ustarabuHao watu siwajui lakini haijalishi, nitasema ninachotakiwa kusema.
Ukweli mchungu.
Ni hivi, mwanaume kufuatilia, kukasirika na kumind maisha ya wanaume wenzako ni tabia za kike.
Why?
Sababu ukifanya hivyo basi hutokuwa na tofauti yoyote kati yako na wale wamama wanaokaa barazani 24 hours kujadili pumba.
I mean why the hell would you give a damn about someone's life!
That sounds a lot like bullshit to me.
Wote kwa ujumla waoWashaliwa viboga
Sina muda wa kuhangaika na wajinga waliofuata machafu kwa kujitakia.Mtazamo kama huu ndo unaharibu hiki kizazi, as long as upo kwenye jamii maisha yako sio yako peke yako na ndo maana tunapiga sana kelele kuhusu ushoga kwa sababu mmoja akianza tu haitoshia kwake. Kama tunataka tuwe na taifa lililostaarabika basi kila mmoja atapigiwa kelele kuhusu ustarabu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu kwani wewe uliwahi jinyeanimejaribu kufanya utafiti kimya kimya sababu za hawa mabwana kutembea kama mtu aliyejinyea lakini mpaka sasa niko 0-0
labda kwa anaefahamu ajaribu kutiririka hapo chini
ndo maana tunasema ufahamu ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu wewe ndio wale wakiamka asubuhi cha kwanza kuingiza mkono sehemu mbaya mbaya..Hapa tulipigwa mchana kweupe..watu kila siku wanapasua ardhi na kulaza mabomba ya maji na mafuta..kutomboa miamba mikubwa hadi ya chini ya bahari.
Watu wameshapanda vilele vyote vya milima duniani na kuvipita juu yake zaidi hadi nje ya dunia.
Hizi ngano za wazee hazina halisia kabisa katika dunia yasasa..yenye maendeleo makubwa ya kisayansi na kitekinolojia.
#MaendeleoHayanaChama
If u don gerrit then fogery abourritUkute wanakuwa wamejinyea kweli, so unajua vijana wenyewe ndio hawa wanaopenda starehe bila kufanya kazi wanaishia kupumuliwa tu.
Yani kimsingi unakuta pipe zinavuja inahitajika fundi bomba awakaze nadhani umenielewa!!! U gaaariit?
Mimi tenaMkuu kwani wewe uliwahi jinyea
Sasa uzoefu was matokeo ya kujinyea umeupata wapi,Hadi utuletee mada hii😁Mimi tena