jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hapa tulipigwa mchana kweupe..watu kila siku wanapasua ardhi na kulaza mabomba ya maji na mafuta..kutomboa miamba mikubwa hadi ya chini ya bahari."Wala usitembee katika ardhi
kwa maringo; hakika wewe huwezi
kuipasua ardhi, wala huwezi kufikia
urefu wa milima."
~17 Qur an
Watu wameshapanda vilele vyote vya milima duniani na kuvipita juu yake zaidi hadi nje ya dunia.
Hizi ngano za wazee hazina halisia kabisa katika dunia yasasa..yenye maendeleo makubwa ya kisayansi na kitekinolojia.
#MaendeleoHayanaChama