Ni sababu zipi huwa zinapelekea wake wa wanajeshi kutokuwa wachoyo?

Ni sababu zipi huwa zinapelekea wake wa wanajeshi kutokuwa wachoyo?

We jichanganye😃
Screenshot_20240720-192337~2.jpg
 
wanajeshi wanatumia pesa na title kuwapata hao wanawake, na hata mazingira wanayowapata ni ya sterehe, so huwa wanaona amabo si wachoyo na wala hawajawapenda. niliikataa moja, si kua namuogopa jamaa, ila sipendi wake za watu.
Sio wachoyo kabisa.
 
Back
Top Bottom