Hakuna wanawake ambao sio wachoyo Kama wake wa wanajeshi
Kuna mke mmoja wa mwanajeshi, pisi kali sana wana mtoto nae mmoja. Niliunganishwa nae na jamaa fulani rafiki yangu ili nimuuzie kiwanja kwakuwa alihitaji na mimi nilikuwa nauza moja ya kiwanja changu.
Katika hapa na pale za kukutana ili tufanye biashara, aliridhika sana na namna nilivyomtreat hadi kufanikisha ufanyikaji wa biashara husika. Baada ya biashara tukajikuta tumejenga ukaribu sana, hali iliyopelekea kupenda kuwasiliana na mimi sababu ya ucheshi, utani na uchangamfu.
Siku isiyo na jina ilifika, mumewe alikuwa kasafiri hivyo akawa kaniita kwenye kiwanja kile ili nimsaidie kufanya utaratibu wa kuandaa ramani na kufanya procedures zote za msingi ili ainue kijumba, na haya aliyafanya secretly pasipo bwana wake kujua. Tukashughulikia hilo kwa siku kadhaa mambo yakawa fresh. Jioni moja akaniambia nitafute sehemu walau tupate mbili tatu kujipongeza kwa kazi hiyo tuliyokamilisha.
Nikataka kujua kuhusu mumewe akaniambia yupo safari, isitoshenilikuwa tayari najua kabisa mumewe ni bakabaka. Tulikutana Bar moja mafichoni, tukala vitu tukakolea. Mida mibovu kabisa akaniambia kachoka anahitaji kupata sehemu apumzike, nikaona hapahapa.. Nilifanya booking ya chumba guest fulani tukaelekea huko. Nilijipigia kiroho safi kabisa bila hata kipingamizi. Kuanzia pale ikawa muda wowote safisafi. Tuliendelea hivyo hadi mumewe aliporejea, napo mara mojamoja nikawa napiga kwa machale.
Ilifika time tu nikaona it's enough kabla mambo hayajachanganya nifanye termination ya haya mahusiano. Nikaita mara ya mwisho nikamsugua kisawa sawa halafu nikamuomba tuishie siku hiyo. Ilikuwa ngumu kidogo ila iliwezekana baada ya kupata tenda na kuhama mkoa kwenda kwenye project fulani na macho madogo (Wachina)