Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Huenda wakajipanga kutumia utaratibu wa zamani wa kutumia ma-lecturers wa vyuo Vikuu kama vile UDSM na MU kufanya mchakato wote kisha kuwapatia idadi ya staff wanaohitajika.
Ulikuwa utaratibu mzuri sana.
Lecturers wanakuwa makini na hawakubali kuchomekewa majina wala vimemo.
Wanataka ukiwapa kazi uache wafanye kazi yao kwa uwazi na haki bila upendeleo.
Kwa hiyo wala msitie shaka juu la hilo ndugu zangu.