Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

Attachments

  • A95333DA-0BEB-4F6A-B80B-538B9A827422.jpeg
    A95333DA-0BEB-4F6A-B80B-538B9A827422.jpeg
    479.7 KB · Views: 6
Wapuuz tu, ishue ni kupendeleana hakuna jingine wao ndio wamechelewesha mchakato kuliko recruitment secretariat. Nakumbuka Rais alisema sababu kuu ya kuruhusu taasosi zingine ziajiri zenyewe ni ucheleweshwaji wa mchakato wa kuajiriwa yan process inakuwa ndefu lakini kinachoshangazwa ni kuwa mbona sasa TRA ndio wamechelewa kuliko hata utumish ? What is going on ?…WE ARE DOOMED..
TRA wametumia miezi mitatu kutangaza na kufanya interview. Last two interviews za utumishi post za TRA toka kutoa tangazo hadi kushortlist ilitumia miezi 9 hadi 10, placement ndo mpaka Mama alipowasema.

Kuwa muwazi nani mcheleweshaji hapo?
 
Hahahahahaha! Mkuu! Samahani, popote TRA inapokosolewa kwenye mchakato huu wa ajira ni lazima uende kuwasaidia kujibu tena kwa kuwatetea as if hawana kabisa wanachotakiwa kurekebisha.

Vipi kuna namna yoyote unanufaika na hilo? Au wewe ndio Alphayo J. Kidata CG unalinda ajira yako?
 
Habari wanaJF.

Naomba kwa yeyote anayejua sababu zilizopelekea mamlaka ya mapato Tanzania yaani TRA kuajiri wenyewe aniambie?

Kusema ukweli ajira zinazopita utumishi ziko fair sana. Nimeshuhudia watoto wa maskini kabisa wakipata ajira TRA tena bila connection yoyote. Utumishi japo wana mapungufu yao mengi lakini wanakwenda angalau kwa haki. Sina maana kwamba hakuna ukiritimba au ajira za kujuana, naamini zitakuwepo ila kwa asilimia chache sana.

Sasa kitendo cha kurudisha ajira kwa TRA kuna lengo gani? Mimi naamini TRA kujuana kutakuwa kwingi sana, watu watakaokuwa wakiajiriwa watakuwa wa vigogo tu. Labda Utumishi wangetuambia sababu za kurudisha kibali kwa TRA ni zipi maana mamlaka ya kisheria ya kuajiri ni yao.

Mwenye kujua sababu za TRA kurudishiwa kibali cha kuajiri aniambie, na je unadhani kutakuwa na fairness kama ilivyo utumishi?
Endelea kutoa povu. Wachaga wanapiga hela TRA
 
Hahahahahaha! Mkuu! Samahani, popote TRA inapokosolewa kwenye mchakato huu wa ajira ni lazima uende kuwasaidia kujibu tena kwa kuwatetea as if hawana kabisa wanachotakiwa kurekebisha.

Vipi kuna namna yoyote unanufaika na hilo? Au wewe ndio Alphayo J. Kidata CG unalinda ajira yako?
Kwanza jishughulishe na content then useme nakosea? Mimi huwa napenda watu walaumiwe kwa haki, sio kulaumu bila facts.
 
TRA wametumia miezi mitatu kutangaza na kufanya interview. Last two interviews za utumishi post za TRA toka kutoa tangazo hadi kushortlist ilitumia miezi 9 hadi 10, placement ndo mpaka Mama alipowasema.

Kuwa muwazi nani mcheleweshaji hapo?
Mkuu wewe umeiangalia ya TRA tu, lakin toka TRA watangaze kazi kuna kazi zilitangazwa na utumish watu wakaenda kufanya written, practical na oral na tangazo la kuitwa kazini lishatoka sawa, alafu kingine hizo hizo za TRA Kupitia utumish walikuwa wakishaanza mchakato wa wa interview kunakuwa na flow inayoeleweka saivi watu wangekuwa washafanya mpaka oral lakin wao hata kutoa majibu wanasua sua nini tatizo ? Au ndio hizo hongo za 5m ili wenye nazo wapewe kazi ?
 
Back
Top Bottom