Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

TRA wametumia miezi mitatu kutangaza na kufanya interview. Last two interviews za utumishi post za TRA toka kutoa tangazo hadi kushortlist ilitumia miezi 9 hadi 10, placement ndo mpaka Mama alipowasema.

Kuwa muwazi nani mcheleweshaji hapo?
 
Hahahahahaha! Mkuu! Samahani, popote TRA inapokosolewa kwenye mchakato huu wa ajira ni lazima uende kuwasaidia kujibu tena kwa kuwatetea as if hawana kabisa wanachotakiwa kurekebisha.

Vipi kuna namna yoyote unanufaika na hilo? Au wewe ndio Alphayo J. Kidata CG unalinda ajira yako?
 
Endelea kutoa povu. Wachaga wanapiga hela TRA
 
Kwanza jishughulishe na content then useme nakosea? Mimi huwa napenda watu walaumiwe kwa haki, sio kulaumu bila facts.
 
Endelea kutoa povu. Wachaga wanapiga hela TRA
Tofautisha kati ya povu na hoja. mimi nimeleta hoja, sijatoa povu. Unaonekana na wewe ni mmoja wa watumishi wa TRA wanatumia vimemo kuchomeka watu wenu.
 
TRA wametumia miezi mitatu kutangaza na kufanya interview. Last two interviews za utumishi post za TRA toka kutoa tangazo hadi kushortlist ilitumia miezi 9 hadi 10, placement ndo mpaka Mama alipowasema.

Kuwa muwazi nani mcheleweshaji hapo?
Mkuu wewe umeiangalia ya TRA tu, lakin toka TRA watangaze kazi kuna kazi zilitangazwa na utumish watu wakaenda kufanya written, practical na oral na tangazo la kuitwa kazini lishatoka sawa, alafu kingine hizo hizo za TRA Kupitia utumish walikuwa wakishaanza mchakato wa wa interview kunakuwa na flow inayoeleweka saivi watu wangekuwa washafanya mpaka oral lakin wao hata kutoa majibu wanasua sua nini tatizo ? Au ndio hizo hongo za 5m ili wenye nazo wapewe kazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…